Sikukuu gani watu wanafanya ngono zaidi?

Mkesha xmass
Wakati wa misa ya mkesha eeh? Dah wakati wa mkesha wa mwaka jana bhana nilikuwa sehemu kuna wapangaji sasa mpangaji mmoja akawa amevusha, raha ikawa pale yule binti alipopigiwa simu na mama yake
"oh mama usje tu maana misa imeshaanza, halafu hata ukija hutaniona mi niko kwa nyuma huku kuna watu wengi"
Kumbe alikuwa analiwa mkesha
 
Mleta mada mbona utafiti wako umelenga sikuu hizi tatu?
Unatubana wengine maana kunasikukuu fulani hivi watu wanakuwa kwenye stop ya siku kadhaa basi wakija kuachiliwa ina'uwa balaa ukichelewa hupati gest mji mzima.
Niliwahi kwenda Tanga siku ya sikukuu hiyo nikafika mida ya jioni nilikosa pakulala mji mzima hotel na gest ziko full
 
Hahahahaaa hizo zimetolewa kama mfano tu mkuu si unajua kwenye hiyo research team ndio watapanga nini cha kufanya, wataweka na hizo sikukuu nyingine zote
 
FIESTA za CLOUDS FM kama ni sikukuu basi michapiko hufanyika sana siku hiyo!
Dah nakumbuka ile iliyofanyika Wet n Wild ilikuwa balaa asee, hizi nyingine sina uhakika nazo sana.........taabu hii huwa ni ya sehemu moja tu hizi nyingine ni nchi nzima
 
Dah nakumbuka ile iliyofanyika Wet n Wild ilikuwa balaa asee, hizi nyingine sina uhakika nazo sana.........taabu hii huwa ni ya sehemu moja tu hizi nyingine ni nchi nzima

Kuna moja ilifanyika leaders!ilikuwa noma asubuhi yake vifanyio full kuzagaa maeneo ya karibu!pakulala kwa kinondoni kulikuwa hakuna....
 
Walitutafunia sana wadogo zetu hawa watu wa mwenge.
Wakasababisha mabinti wakapoteza bikra zao. Na ukimwi pia waliusambaza sana
Kulikuwa na stori zamani kwamba wale wakimbiza mwenge hasa yule kiongozi wao alikuwa akimaliza mbio tu anakufa baada ya muda mfupi....... am not sure coz sina data kamili
 
Back
Top Bottom