Sikukuu gani watu wanafanya ngono zaidi?

Mi naona kila siku ni kama sikukuu maana dairly watu wanavunja amri ya sita
 
Kwa mtazamo wangu,swala si sikukuu...

Swala ni sikukuu gani inaangukia karibu na ama siku za mshahara kutoka... So commonly,utapata X-mass na New Year,lakini,zinaweza kuwa overlapped na sikukuu nyingine endapo zitaangukia tarehe husika...
 
Kweli kabisa, but kuna zile ambazo watu huwa wanatafuta hela kwa nguvu hata kwa kukopa ili siku hiyo wawe na hela za kutoka na mwisho kuishia shughulini
 
Halafu utajuaje wamefanya ngono zembe
Au labda naweee uwepo kushuhudia
 
Kweli kabisa, but kuna zile ambazo watu huwa wanatafuta hela kwa nguvu hata kwa kukopa ili siku hiyo wawe na hela za kutoka na mwisho kuishia shughulini

Basi X-mass na mwaka mpya... Maana hata mishahara huwa wawekezaji wanaiwahisha kabla ya tarehe 25 Dec.
 
Halafu utajuaje wamefanya ngono zembe
Au labda naweee uwepo kushuhudia
Ndio hapo tunaaply mbinu za kitafiti ambazo zitatuelekeza tufanye nini kujua. Kwa sasa naziweka kapuni kwanza mpaka timu ikamilike
 
Back
Top Bottom