Sikujibu maswali yote utumishi, je naweza kubahatika?

luky12

Senior Member
Aug 16, 2019
147
401
Habari naomba kuuliza kwa wale waliofaulu interview za oral wakaitwa kazini Je, walijibu maswali yote? Maana nilifanya interview yangu ya kwanza maswali mengine point zilkuwa zinagoma kuja kabisa naishia kutaja point 2 out of 5, Je naweza nikabahatika kweli au ndo imekula kwangu ?

Msaada kwa walio na experience
 
Mkuu kama Mungu alikuandikia hakuna wa kuzuia. Kuna jamaa angu alipiga oral ya utumishi ananambia alipoteana kwa interview maswali alikua hajibu point zote mengine alikua hayajui, akanambia hii kazi nimeikosa.

Huwezi amini mkeka umetoka jina lake la kwanza hata hakuamini ilibd akatoe sadaka mshahara wake wa 1.
 
Habari naomba kuuliza kwa wale waliofaulu interview za oral wakaitwa kazini Je, walijibu maswali yote? Maana nilifanya interview yangu ya kwanza maswali mengine point zilkuwa zinagoma kuja kabisa naishia kutaja point 2 out of 5, Je naweza nikabahatika kweli au ndo imekula kwangu ?

Msaada kwa walio na experience
Yani kwa utumishi kitendo cha kutomaliza maswali basi ujue usha chinjwa! Ongeza spidi siku nyingine
 
Habari naomba kuuliza kwa wale waliofaulu interview za oral wakaitwa kazini Je, walijibu maswali yote? Maana nilifanya interview yangu ya kwanza maswali mengine point zilkuwa zinagoma kuja kabisa naishia kutaja point 2 out of 5, Je naweza nikabahatika kweli au ndo imekula kwangu ?

Msaada kwa walio na experienc

Kwani status yako kwenye app inasemaje?
 
Habari naomba kuuliza kwa wale waliofaulu interview za oral wakaitwa kazini Je, walijibu maswali yote? Maana nilifanya interview yangu ya kwanza maswali mengine point zilkuwa zinagoma kuja kabisa naishia kutaja point 2 out of 5, Je naweza nikabahatika kweli au ndo imekula kwangu ?

Msaada kwa walio na experience
Mimi nadhani angalia status kwenye app....maana hapa kuna watakuvunja moyo
 
Habari naomba kuuliza kwa wale waliofaulu interview za oral wakaitwa kazini Je, walijibu maswali yote? Maana nilifanya interview yangu ya kwanza maswali mengine point zilkuwa zinagoma kuja kabisa naishia kutaja point 2 out of 5, Je naweza nikabahatika kweli au ndo imekula kwangu ?

Msaada kwa walio na experience
Inategemeana umejibu vp ndg ....na pia itategemeana na washindani wenzako wa nafasi wamefanyeje kwa wakt wao ,,MAAANA Kila mtu aliingia kwa wakat wake akaondoka ,,ilitokea wenzako asilimia kubwa walijibu maswali yote ,,kwa kuendana na majibu wanaweza kuwa na nafasi kubwa ya kupata kuliko ww kwa mtazamo wangu...Maana usahili unamarks 100% ,, ss kama utapata 50 ,, wenzako waktapa 70 au 80 watakuwa na nafasi ya kupata ...KULINGANA NA MTAZAMO WANGU @lucky12
 
Ahaaa! umeongea kitu cha ukweli hapo cha Muhimu ni kusubiri tu placements na Mungu mwenyewe ndiyo ataamua.
 
Yeah ni kusubria pdf ya placements uone ka humo au haumo ...muujiza huwa ipo kk keep praying aisee @lucky12
 
Kwa kweli...sema huwa sijui kwa nini zinachelewa kutoka, bora zingekuwa zinatoka mapema tuwaze mengine 😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom