Siku Zimeish, Mmejiandaa Kwa Haya...? Mnakumbuka NINI Hapa?

ZionTZ

JF-Expert Member
Oct 6, 2009
1,283
538
Nakumbuka nyumbani sana kila niangaliapo hizi picha

wazee wa Mndenyi mmeshaanza safari?

Najua Nauli huwa haiwasumbui, hata ipande vipi Bado mtaenda tu....

Merry x-mass aisee....Mnde ilikira wose pyu...!
 
Attachments

  • ndisi.jpg
    ndisi.jpg
    257.2 KB · Views: 78
  • supu.jpg
    supu.jpg
    219.7 KB · Views: 68
tupo asiee...mi namaindi kinoma siendi kuhesabiwa mazee....

Unajua mjini pagumu sana bila baraka za wazee....!
 
Haya wachagga nendeni mkahesabiwe na kufanya matambiko huko. Mkirudi mjini endeleeni kutudanganya kwamba mmeokoka.
 
Aisee jamaa sangu, kwa nini lakinyi mnaona wifu sisi tukienda kuhesabiwa kule mgombanyi wakati tukilabua mbeke na kutafuna ndafu ??? Musiki unaopigwa ni ule wa Skiter Davis na Jim Reeves hakuna twanga pepeta msee. Halafulee tunaacha wake setu mgombanyi tunarudi tena mjinyi kutafuta hella ya sikukuu ingine msee wangu.

Kwani iko mbaya ganyi mara moja kwa mwaka mtu kwenda kusalimia makaburi ya wasee waliolala, wai !!!! Acheni wifu.
 
Haya ndo mambo tunayotaka kusikia mazee...yani ukiwa kule mndenyi katika kipindi hichi unakua unakumbuka nini, mimi nakumbuka jinsi dada zangu walivyong`ang`ania kwenda mgombani kwenye machinjio wakati kwa sheria za kichaga hawaruhusiwi...

Nyie mnaonaje kitendo cha wanaume cha kula vinono shambani huku wanawake wakila mabaki....?
 
ulalu nyi pilau na muorotsa tupu ilio kunu na wari wo mbeke ko ienda mbele.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom