Siku yako ya kwanza kucheat ulimtazamaje mwenzi wako?

ukishaona unacheat mara kwa mara ujue its better uachane na ulienae coz hakuridhishi for sure unless uwe umejikuta once na ukaenda kuconfess. Ndugu zangu ukimwi ni tatizo jamani kama umehudumia mtu wa karibu ndo utajua. Say NO to cheating!.

Gud point in deed, ni kufanya maamuzi tuu. Ukimpenda mwenzi wako... mpende ukweli, ukihusisha na matendo yako pia.
 
kama unakandamiza usiku na inabidi urudi immediately nyumbani basi nawia sabuni ya mche hii ya kawaida ya kufulia,haina tatizo la harufu.

shida kubwa ipo kwenye vitendea kazi hivi vyenye ladha za ajabu...........flavored! ah ukinawia ya mche harufu ya kitendea kazi inabaki pale pale
 
Madam, yaani usipotoa pachupachu siku hiyo ndo utaumbuka. Lazima hiyo tena ya kujituma kikazi zaidi. Ila ni vibaya wandugu.

Mmm jamani wanaume ni noma, sasa si utakuw unanicompare na huyo small wako
 
Mmm jamani wanaume ni noma, sasa si utakuw unanicompare na huyo small wako

Katika vipaji tulivyonavyo wanaume ni kuto COMPARE na ndio maana naweza kucheat na Amina, Sophy, Adella na Matrida na bado nikarudi home, shida ipo kwenue kina dada................yaaani ukipinduliwa kwa style na migeuzo tofauti kidogo tu.........kwisha habari yako!
 
kipato mama kipato,mimi ni shoeshaina pale samora maeneo ya empress,yani gest ya buku tano ndo nimejitahiddi sana.Kabla ya kwenda gemu huwa tunaanzia american chips tunapiga zege kwanza(chips zilizovingirishwa mayai,sahani 1500.-)),tukitoka hapo kuelekea buibui ni kwa miguu(hapandi mtu bajaj),na tukimaliza hela akiniomba usafiri sana sana nampa buku mbili.Kwa hiyo bajeti yangu ya malavidavi ni buku kumi maximum(chips elfu tatu for two,chumba buku 5 na nauli alfu mbili).Upo hapo?

Duh..! Wewe mkareee, bonge la mchumi. Unajua kubana matumizi, mke na watoto home hawalali njaa. BIG UP!
 
ndo kwanza nilimtoa out since it was Friday ................tukaanzia weekend huko by the time tunarudi nyumbani nishasahau kama nimerusha maji nje siku hiyo!
Mh
Siku hiyo ndio siku anakula bata kuliko siku nyingine! Na chochote anachotaka atapata!
Mh.......So tukionyeshwa haya tunaruhusiwa kuconclude? Maana kama si kawaida yake halafu ghafla mamaa MJ1 napandishwa chati naingizwa Level 8 Hyatt Kilimanjaro Hotel niconclude kuwa leo maji yangu ya nafsi yamemwagiliwa nje?

Madam, yaani usipotoa pachupachu siku hiyo ndo utaumbuka. Lazima hiyo tena ya kujituma kikazi zaidi. Ila ni vibaya wandugu.

Kazi ndo hapo! unawezamtilia mbwa chakula katika sahani ya Bwana kweli afu uje tena umpakulie bwana? Mbwa ndiye mla makombo na katu si Bwana wake ale makombo ya mbwa kama wataka mnawirisha mbwa!(Samahani neno mbwa sijalitumia kumaanisha hivyo, ni mfano tu!
 
shida kubwa ipo kwenye vitendea kazi hivi vyenye ladha za ajabu...........flavored! ah ukinawia ya mche harufu ya kitendea kazi inabaki pale pale
salama kweli zina harufu ya kutisha,tumia durex though ni ghali lakini hazina harufu hata chembe.
 
Bishanga....BuiBui gesti hausi una hisa asilimia ngapi??
ni ya mama wa kiarabu,gest ya long long long time kinondoni toka miaka hiyo,vijana wa kinondoni sijui nani hajawahi kuingia humo,mpeleke leo Bebii hapo akaliwe na kunguni kudadadeki maana amezidi mdomo.
 
Kungekuwa na uwezekano, baada ya kucheat unapigwa chapa isiyotoka usoni (iwe na shetani au vyovyote vile), wasafi wangebakia wachache sana.
unaona eh? si wake si waume,au sio? halafu si ajabu ukakuta Bishanga peke yake ndo atabaki hana alama.
 
Back
Top Bottom