Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,383
- 6,523
Kwahiyo zile ajira elfu 13 za kampeni ndo zimeisha hivyo kwa walimu wa ngazi ya cheti?
Mbona paragraph ya pili kutoka mwisho inatambua utoaji wa ajira hizo ngazi ya cheti.
Kwahiyo zile ajira elfu 13 za kampeni ndo zimeisha hivyo kwa walimu wa ngazi ya cheti?
Mtaaala ndio unafutwa sio Chuo. Walimu hao hao watafundisha Diploma ya Elimu ya msingi. Ndivyo nimeelewakwahiyo vyuo vya ualimu vya ngazi ya cheti vitafanya kazi gani?