Siku TEC ikitoa waraka kupinga uchaguzi uliochezewa matokeo CCM itaondoka madarakani

Titicomb

JF-Expert Member
Jan 27, 2012
11,348
17,882
Salam Wana JF,

Nasema hivi siku ambayo Baraza la maaskofu wa kanisa katoliki likitoa tamko au waraka kuhusu kuvurundwa kwa uchaguzi mkuu CCM itaondoka madarakani asubuhi mapemaa. Hii taasisi ina nguvu sana nchi nyingi duniani ambako ukristo wa dhehebu la ukatoliki upo.

Hii taasisi imesababisha serikali na bunge wapige u-turn kwenye muswada wa mabadiliko ya sheria ya kulinda rasilimali za taifa.

CCM wakisikia TEC wanakuja na waraka, wazee wa bao la mkono wote wanasambaratika na kufunga unofficial 'parallel tally' center yao kama ile ya Masaki 2015.

Nimeanza kulipa ZAKA (fungu la kumi) baada ya waraka wao wa kupinga mauza uza ya DP World. Karibuni nitaanza kusali tena kanisa katoliki.

Siyo kwamba nimekuwa muumini mzuri wa dogma bali nachangia michango ya kuwezesha kusomesha wasomi wengine wengi kama wale watakao kuja kutetea maslahi mapana ya watanzania wengi bila woga au uchawa kama wa mzee wa upako LUSEKELO au uchawa wa wazee wa kugombea uongozi wa kanisa sijui usharika wale wa KKKT.

Niliowapiga kitu kizito don't take it too personal mbadilike mtetee watu wenu siyo matumbo yenu pekee. Hao watu wenu ndiyo wanao waletea sadaka na michango mnayo gombea makanisani.

Yale makapu mnayotembeza kanisani yatarudi matupu kama Kila kitu tutaacha kichukuliwe kifisadi na mafisadi wachache kupitia washirika wao wa kigeni wanaoitwa wawekezaji.

"TEC ni lidude fulani likuuubwaaa.

Linawatisha wabunge kiasi wanajitokeza kanisani kukiri wanapitisha vitu bungeni bila kuelewa kimeandikwa nini, kina madhara au ubaya gani." by Titicomb
 
Samia au CCM wa kikaza shingo wataondolewa madarakani, Ile kauli ya TEC kwamba wamemwachia Rais afute huo mkataba ni kauli ya kumtega na Samia asipokuwa makini Maccm ya livyo malafi yakizidiwa yatamtosa bila huruma na lawama zote watamtupia yeye ili kukiokoa chama chao. Katoliki hawajawahi kushindwa jambo hao ni majasusi wazoefu na waliojaa mbinu za kila aina hasa hao Jesuits ni moto sana.
 
TEC ni taasisi inayoheshimika kwa sababu yenyewe inajiheshimu.

Tunapotoa mawazo yetu tusifanye watu waamini TEC ndio kila kitu, hiyo itafanya watu wa dini nyingine wakiwemo wakristo wasio wakatoliki kutokuiheshimu tena na hivyo kupoteza mvuto wake kwa jamii.
 
Salam Wana JF,
Nasema hivi siku ambayo Baraza la maaskofu wa kanisa katoliki likitoa tamko au waraka kuhusu kuvurundwa kwa uchaguzi mkuu CCM itaondoka madarakani asubuhi mapemaa.
Hii taasisi ina nguvu sana nchi nyingi duniani ambako ukristo wa dhehebu la ukatoliki upo.

Hii taasisi imesababisha serikali na bunge wapige u-turn kwenye muswada wa mabadiliko ya sheria ya kulinda rasilimali za taifa.

CCM wakisikia TEC wanakuja na waraka, wazee wa bao la mkono wote wanasambaratika na kufunga unofficial 'parallel tally' center yao kama ile ya Masaki 2015.

Nimeanza kulipa ZAKA (fungu la kumi) baada ya waraka wao wa kupinga mauza uza ya DP World. Karibuni nitaanza kusali tena kanisa katoliki.
Siyo kwamba nimekuwa muumini mzuri wa dogma bali nachangia michango ya kuwezesha kusomesha wasomi wengine wengi kama wale watakao kuja kutetea maslahi mapana ya watanzania wengi bila woga au uchawa kama wa mzee wa upako LUSEKELO au uchawa wa wazee wa kugombea uongozi wa kanisa sijui usharika wale wa KKKT.

Niliowapiga kitu kizito don't take it too personal mbadilike mtetee watu wenu siyo matumbo yenu pekee. Hao watu wenu ndiyo wanao waletea sadaka na michango mnayo gombea makanisani.
Yale makapu mnayotembeza kanisani yatarudi matupu kama Kila kitu tutaacha kichukuliwe kifisadi na mafisadi wachache kupitia washirika wao wa kigeni wanaoitwa wawekezaji.

"TEC ni lidude flani likuuubwaaa.
Linawatisha wabunge kiasi wanajitokeza kanisani kukiri wanapitisha vitu bungeni bila kuelewa kimeandikwa nini, kina madhara au ubaya gani." by Titicomb

Kuna wengine huku hawavumi ila nao wamo:

TEC ni taasisi inayoheshimika kwa sababu yenyewe inajiheshimu.

Tunapotoa mawazo yetu tusifanye watu waamini TEC ndio kila kitu, hiyo itafanya watu wa dini nyingine wakiwemo wakristo wasio wakatoliki kutokuiheshimu tena na hivyo kupoteza mvuto wake kwa jamii.
Maoni yako yamepokelewa.
 
Salam Wana JF,

Nasema hivi siku ambayo Baraza la maaskofu wa kanisa katoliki likitoa tamko au waraka kuhusu kuvurundwa kwa uchaguzi mkuu CCM itaondoka madarakani asubuhi mapemaa. Hii taasisi ina nguvu sana nchi nyingi duniani ambako ukristo wa dhehebu la ukatoliki upo.

Hii taasisi imesababisha serikali na bunge wapige u-turn kwenye muswada wa mabadiliko ya sheria ya kulinda rasilimali za taifa.

CCM wakisikia TEC wanakuja na waraka, wazee wa bao la mkono wote wanasambaratika na kufunga unofficial 'parallel tally' center yao kama ile ya Masaki 2015.

Nimeanza kulipa ZAKA (fungu la kumi) baada ya waraka wao wa kupinga mauza uza ya DP World. Karibuni nitaanza kusali tena kanisa katoliki.

Siyo kwamba nimekuwa muumini mzuri wa dogma bali nachangia michango ya kuwezesha kusomesha wasomi wengine wengi kama wale watakao kuja kutetea maslahi mapana ya watanzania wengi bila woga au uchawa kama wa mzee wa upako LUSEKELO au uchawa wa wazee wa kugombea uongozi wa kanisa sijui usharika wale wa KKKT.

Niliowapiga kitu kizito don't take it too personal mbadilike mtetee watu wenu siyo matumbo yenu pekee. Hao watu wenu ndiyo wanao waletea sadaka na michango mnayo gombea makanisani.

Yale makapu mnayotembeza kanisani yatarudi matupu kama Kila kitu tutaacha kichukuliwe kifisadi na mafisadi wachache kupitia washirika wao wa kigeni wanaoitwa wawekezaji.

"TEC ni lidude fulani likuuubwaaa.

Linawatisha wabunge kiasi wanajitokeza kanisani kukiri wanapitisha vitu bungeni bila kuelewa kimeandikwa nini, kina madhara au ubaya gani." by Titicomb
2018 DRC Katoliki iliendesha kampeni za Fayul lakini mamlaka za DRC Jk jr hawakumpa madaraka bwana Fayul licha ya kupata kura nyingi kuliko Ramazani Shadary na Felix Tshilombo.

Nataka nikukumbushe tu TEC, BAKWATA, KKKT nk. ni sehemu ndogo ya dola.

Hata siku moja usijeukaipa umuhimu kuliko kawaida, utaumia moyo!
 
hiyo TEC imeanzishwa jana ? Maana kila mwaka mnalalamika uchaguzi unakua "rigged " au nayo ni sehemu ya tatizo? Usipoteze muda na nguvu zako kushindana na CCM kijana.
 
2018 DRC Katoliki iliendesha kampeni za Fayul lakini mamlaka za DRC Jk jr hawakumpa madaraka bwana Fayul licha ya kupata kura nyingi kuliko Ramazani Shadary na Felix Tshilombo.

Nataka nikukumbushe tu TEC, BAKWATA, KKKT nk. ni sehemu ndogo ya dola.

Hata siku moja usijeukaipa umuhimu kuliko kawaida, utaumia moyo!

Acha uongo mkuu. Toa ushahidi hizo kampeni walizofanya.

Wao wanashirikishwa na serekali ya Congo ili kuleta upanishi na si kusema kwamba tufanye kampeni kwa ajili ya huyu.
 
Sawa, Jambo la muhimu muswada umekataliwa bungeni.
 
Acha uongo mkuu. Toa ushahidi hizo kampeni walizofanya.

Wao wanashirikishwa na serekali ya Congo ili kuleta upanishi na si kusema kwamba tufanye kampeni kwa ajili ya huyu.
Sidhani kama ulikuwa au huwa unafuatilia siasa za Kongo Dr.

Ungelikuwa mfuatiliaji wa siasa zao, usingeliandika alichoandika.

Anyway, Martin Fayul alikuwa anaungwa mkono na makundi yepi katika uchaguzi wa 2018?

Na tueleze kwanini Felix alijiondoa kwenye muungano wa upinzani ulioundwa Belgium kukabiliana na chama cha JK jr?

Mtu Chake
 
Narudia tena hakuna taasisi ambayo inaweza kuwa na nguvu kuizidi serikali ya nchi husika.
Aise we ujui siasa kaimbe taarabu,
Nchi nyingi San ulimwengu even developed country kunakuwa Kuna kuwa na watu, jamii au hata taasisi zinazokuwa na nguvu au influence kubwa ndan ya serikali husika.

mfano marekan kila rais anayetaka kuingia madarakan awe wa republic au democratic lazima ajikombe kwa hizi jamii za waizraeli waliopo pale marekan coz ndio jamii inayomiliki uchumi mkubwa include heavy industries pale marekan Ivo Zina power kubwa kiuchumi na influence kubwa ndan ya serikali ya marekan hivo ukiwaendea vibaya imekula kwako utafanyiwa figisu mpka unatoka.

Hata nchi nyingine nyingi za latin America unakuta Kuna mtu hata siyo mwanasiasa but watu wenye pesa ndefu especially wale watu wa madawa ya kulevya unakuta anapawa kubwa ndan ya serikali hivo anaweza hata kuweka mtu wake madarakan ili kulinda biashara yake au misimamo yke.

Mfano mwingine south Africa makabulu ndiyo watu wenye power ndan ya serikali ya south Africa mf jakobo Zuma alikuwa anaendeshwa kama gari bovu na haojamaa, coz ndio watu wenye uchumi mkubwa pale south wale jamaa hata wakikung'anya shamba huna sehem ya kushtaki coz wameshika kila sector means wameweka watu wao(vibaraka) iwe mahakama, bunge mpka baraza la mawaziri

NB. Haya mambo ni ngumu San kuyaona au kuyajua ukiwa kilaza.
 
Sidhani kama ulikuwa au huwa unafuatilia siasa za Kongo Dr.

Ungelikuwa mfuatiliaji wa siasa zao, usingeliandika alichoandika.

Anyway, Martin Fayul alikuwa anaungwa mkono na makundi yepi katika uchaguzi wa 2018?

Na tueleze kwanini Felix alijiondoa kwenye muungano wa upinzani ulioundwa Belgium kukabiliana na chama cha JK jr?

Mtu Chake

Mimi ni mkongo.

Nimeomba ushahidi wa kampeni za kanisa hujatoa.

Swala la Lamuka kila mtu huwa anaongea ya kwake, Hiyo siwez kukuthibitishia.

Ila kwa mtazamo wangu wa kiasi.

Chama cha UDPS kilijitenga na Lamuka baada ya Felix kutangazwa kuwa Mshindi, Ushindi ambao watu walilalamika hakustahili.

Yoseph aliona wazi kabisa Shadary hawezi kushinda ujachuzi na angelazimisha Congo pasingekalika,hvyo aliona amuweke mpinzani, alimuita Felix chemba na kufanya mikata ya siri ashinde ujaguzi ili apate kumlimda. Ndiomaana Felix alishinda badala ya Fayulu. na matokeo yalichelewa kutangazwa Fayulu ndo alikuwa Mshindi ila Yoseph akaona hana Kinga kwa Fayulu, bora awe na Felix

Ndio Sababu ya UDPS kujitenga na Lamuka ilikuwa huo mkataba wa UDPS na Yoseph.
 
Back
Top Bottom