ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,906
- 6,909
Jingine ni ukosefu wa ajira kwa vijana na ubaguzi wa maslahi kati ya wageni na wazawa
usije ukawa unamfanyia EL kampeni za kuwateka vijana, maana jana kaliongelea sana hili
Jingine ni ukosefu wa ajira kwa vijana na ubaguzi wa maslahi kati ya wageni na wazawa
NI jinsia ke, waoga sana katika kudai haki, lakini ikishapatikana wanakuwa wa kwanza kudai usawa. usawa pasipo kuwajibika? bora mwenzie FF kajipambanua ni ke, hivyo hatusumbui sana
Katika kuadhimisha siku ya disemba 9, kwa nini wale woote wanaosema hawatashiriki wasichukue nafasi ya siku hii KUANDAMANA kupinga utawala uliopo? at least fanyeni la maana kuonyesha hisia zenu siku hiyo, lakini kugoma tu kushiriki kuadhimisha siku hiyo hakuwezi kuwaletea sifa yoyote zaidi ya kuwadhalilisha zaidi..
Wazo:- Desember 9 iwe siku ya maandamano ya nchi nzima mkipinga yoote mnayoyalaaani na ndio iwe siku ya kudai huo UHURU muutakao..
watatuambia kuna tishio la Al-Shabaab...Wazo:- Desember 9 iwe siku ya maandamano ya nchi nzima mkipinga yoote mnayoyalaaani na ndio iwe siku ya kudai huo UHURU muutakao..
Wazo zuri sana. Kwa kuwa serikali imeandaa maandamano, tena kwa kulazimisha wafanyakazi washiriki, twaweza kujichomeka kwenye maandamano yao tukiwa na mabango yanayoeleza hisia zetu.Katika kuadhimisha siku ya disemba 9, kwa nini wale woote wanaosema hawatashiriki wasichukue nafasi ya siku hii KUANDAMANA kupinga utawala uliopo? at least fanyeni la maana kuonyesha hisia zenu siku hiyo, lakini kugoma tu kushiriki kuadhimisha siku hiyo hakuwezi kuwaletea sifa yoyote zaidi ya kuwadhalilisha zaidi..
Wazo:- Desember 9 iwe siku ya maandamano ya nchi nzima mkipinga yoote mnayoyalaaani na ndio iwe siku ya kudai huo UHURU muutakao.
wazo baya sana
reason ???wazo baya sana
reason ???wazo zuri sana
Sidhani kama zinahitajika fedha na maandalizi isipokuwa ni WATU wenyewe kuwa na moyo wa kuondoka majumbani mwao na kushiriki ktk maandamano (MARCH) ya Amani..hata hayo maandalizi ya serikali wanatumia fedha kwa ajili yao wenyewe lakini raia hutoka majumbani mwao wasipewe ndululu ya kushiriki..Mkuu,wazo lako zuri ila nadhani muda hautoshi kufanya maandalizi ili kupata Maandamano yenye impact.Imebaki Siku moja tu.Maandamano ili yawe matamu yanahiyaji maandalizi ya kutosha ya kifedha,watu na pia kueleza kwa hao waandamanaji lengo la Maandamano hayo..Ungetoa wazo hilo angalau few days ago!