Ibrahim K. Chiki
JF-Expert Member
- Apr 5, 2011
- 594
- 163
Wadau. Kwa kua tarehe 9 mwezi huu ni sherehe za miaka 50 ya uhuru, na police hawajatangaza vitisho vya alshabab, ni vyema basi siku hyo hyo pia baraza la katiba likatangaza maandamano makubwa yatakayoanzia pale pale taifa. Na sisi wote kwa umoja wetu kugoma kutoka taifa hadi hapo matakwa yetu yatakapotekelezwa...nawakilisha.