Lunyungu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 8,873
- 1,894
Chama cha demokrasia na maandamano (chadema)
Kwa maandiko haya ni ushahidi kwamba unapumuliwa hakika maana una roho ya shetani
Chama cha demokrasia na maandamano (chadema)
au mnaogopa kuchukua nchi maana watanganyika siku wakiingia barabara wote kwa pamoja lolote linaweza kutokea na CDM ndiyo tunaowaami kuwa kabidhi nchi.......lolMkuu,wazo lako zuri ila nadhani muda hautoshi kufanya maandalizi ili kupata Maandamano yenye impact.Imebaki Siku moja tu.Maandamano ili yawe matamu yanahiyaji maandalizi ya kutosha ya kifedha,watu na pia kueleza kwa hao waandamanaji lengo la Maandamano hayo..Ungetoa wazo hilo angalau few days ago!
Bega kwa bega mpaka chupi ziwapwaye nyambafu zenu....Maandamano yafanyie nyumbani kwako na mmeo na watoto wako.
Hayana Tija. Watanzania wanashurutishwa na viongoz wachache wenye uchu wa madaraka kuandamana kwa sababu wasizozifahamu. Watu wanaandamana bila malengoMkuu Rejao, hivi ni kwa nini Serikali yetu inaogopa sana maandamano?
Siamini kama wewe ni mbunge unaandika haya maneno hapa. Huna hata haya?Mkuu,wazo lako zuri ila nadhani muda hautoshi kufanya maandalizi ili kupata Maandamano yenye impact.Imebaki Siku moja tu.Maandamano ili yawe matamu yanahiyaji maandalizi ya kutosha ya kifedha,watu na pia kueleza kwa hao waandamanaji lengo la Maandamano hayo..Ungetoa wazo hilo angalau few days ago!
Siamini kama wewe ni mbunge unaandika haya maneno hapa. Huna hata haya?
Sidhani kama zinahitajika fedha na maandalizi isipokuwa ni WATU wenyewe kuwa na moyo wa kuondoka majumbani mwao na kushiriki ktk maandamano (MARCH) ya Amani..hata hayo maandalizi ya serikali wanatumia fedha kwa ajili yao wenyewe lakini raia hutoka majumbani mwao wasipewe ndululu ya kushiriki..
Haya ni maandamano ya WANANCHI wenyewe yasiwe ya maandalizi zaidi ya kuwaomba viongozi wa vyama kama vile Chadema, CUF, NCCR na vyama vinginevyo kujuika nanyi siku hiyo kuandamana tu.
Hivi Mimi na aliyesaini huku akijua Muswada ni mbovu nani anapaswa kuona haya?eti nakaribisha maoni huku keshasaini,ni kioja Cha miaka 50 ya Uhuru!Siamini kama wewe ni mbunge unaandika haya maneno hapa. Huna hata haya?
Hivi Mimi na aliyesaini huku akijua Muswada ni mbovu nani anapaswa kuona haya?eti nakaribisha maoni huku keshasaini,ni kioja Cha miaka 50 ya Uhuru!
Wawakilishi wenu walioenda Ikulu walifikia muafaka na kutoa go ahead. Kioja cha miaka 50 ni viongozi wa upinzani kulilia kuomba kwenda ikulu kumuona raisi wasiyemtambua na kumnyenyekea kwa hali ya juu na kila mmoja kuomba kupiga naye picha tena kwa vicheko.Hivi Mimi na aliyesaini huku akijua Muswada ni mbovu nani anapaswa kuona haya?eti nakaribisha maoni huku keshasaini,ni kioja Cha miaka 50 ya Uhuru!
Wawakilishi wenu walioenda Ikulu walifikia muafaka na kutoa go ahead. Kioja cha miaka 50 ni viongozi wa upinzani kulilia kuomba kwenda ikulu kumuona raisi wasiyemtambua na kumnyenyekea kwa hali ya juu na kila mmoja kuomba kupiga naye picha tena kwa vicheko.
Mngejua hali ya wananchi na umuhimu wa hiyo Katiba msingejichekesha vile Ikulu, mmngekaa kwa sura za kazi tuone kweli kuna kitu cha msingi mmeenda kukifanya.
Asante sana kwa kumpatia huyu dada yetu ushauri mzuri. Ni matumaini yangu kuwa atakuwa amekusikia.Ushauri kwa Regia mtema,dada yangu wewe ni kiongozi na hauna sababu ya kuandika kila unachofikiria hapa jf.jaribu kuwa mpole sometime sio lazima uandike.