Siku hizi Makanisani 90% mahubiri ni kuhusu Sadaka Sadaka Sadaka!

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,379
8,123
Unaingia kanisani na shida zako kwa kutegemea upunguziwe mastress ya maisha matokeo yake unaenda kubebeshwa madeni tena.

Kanisa siku nzima linachangisha fedha, bado kuna sadaka kama 7 hivi aloo. Hawa majamaa hapana aisee. Mungu hajaagizo mambo ya hivyo. Sadaka ni hiari ya mtu ila siku hizi unapangiwa hadi kiwango.
 
Hakuna ibada ambayo haina sadaka..

Hata kwa waganga kabla hujafanya chochote utatoa sadaka.

Ibrahim maisha yake yalizungukwa na sadaka. Alifahamika kama mtu wa sadaka, kila alipopita alijenga madhabahu na kumtolea Bwana sadaka.

Kikubwa usitoe kwa shuruti toa kwa kusukumwa kutoka moyoni.
Watu wa Mungu wanapata Kwa kutoa, Hawatoi ili wapate.
 
umechelewa kujua, hii imeanza siku nyingi karibia miaka ishirini. Kuna makanisa yana vikapu vitano vikubwa unatakiwa utoe kila kikapu kina sadaka yake. Pamoja na kuwa na utitiri wa sadaka haitukatishi tamaa kwenda kusali, tutatoa sadaka tuliyonayo kwa siku hiyo na Mungu atatambua utoaji wetu
 
Unaingia kanisani na shida zako kwa kutegemea upunguziwe mastress ya maisha matokeo yake unaenda kubebeshwa madeni tena.

Kanisa siku nzima linachangisha fedha, bado kuna sadaka kama 7 hivi aloo. Hawa majamaa hapana aisee. Mungu hajaagizo mambo ya hivyo. Sadaka ni hiari ya mtu ila siku hizi unapangiwa hadi kiwango.
Kama ni hiyari unalalamika nini sasa na hujalazimishwa kutoa 🐒

R.I.P Laigwanani comrade ENL
 
Utoaji wa sadaka umebadilika sana, siku hizi ni fedha tu ndio zinatakiwa tofauti na zamani unaweza kutoa muhindi mmoja au mawili, boga, mtama, tikiti, kitunguu, alizeti, kuku, mbuzi, ngombe, njiwa au mazao na mifugo mtoaji akijisikia kutoa na inapokelewa hata kama ni kidogo. Pesa zenyewe sarafu hazitakiwi zinatakwa noti tu. Usipokuwa mtoaji wa fedha unaweza kupakaziwa ni mdhambi hasa mzinzi/muasherati au mchawi ili tu ufukuzwe kundini na kuongezewa dhambi kuwa ni mchoyo
 
Hakuna ibada ambayo haina sadaka..

Hata kwa waganga kabla hujafanya chochote utatoa sadaka.

Ibrahim maisha yake yalizungukwa na sadaka. Alifahamika kama mtu wa sadaka, kila alipopita alijenga madhabahu na kumtolea Bwana sadaka.

Kikubwa usitoe kwa shuruti toa kwa kusukumwa kutoka moyoni.
Watu wa Mungu wanapata Kwa kutoa, Hawatoi ili wapate.
hata wa mangi moshi tukienda sadaka kama kawaida
 
Unaingia kanisani na shida zako kwa kutegemea upunguziwe mastress ya maisha matokeo yake unaenda kubebeshwa madeni tena.

Kanisa siku nzima linachangisha fedha, bado kuna sadaka kama 7 hivi aloo. Hawa majamaa hapana aisee. Mungu hajaagizo mambo ya hivyo. Sadaka ni hiari ya mtu ila siku hizi unapangiwa hadi kiwango.
kama hutaki kutoa sadaka acha kwenda kanisani mkuu

Kutoka34:20-21
20 Na mzaliwa wa kwanza wa punda utamkomboa kwa mwana-kondoo; tena kwamba hutaki kumkomboa, ndipo utamvunja shingo. Wazaliwa wa kwanza wote wa wanao utawakomboa. Wala hapana atakayehudhuria mbele zangu mikono mitupu.
21 Utafanya kazi siku sita, lakini katika siku ya saba utapumzika; wakati wa kulima mashamba, na wakati wa kuvuna pia, utapumzika.

Sira 35:6​

Usiende mbele za Bwana mikono mitupu
 
Unaingia kanisani na shida zako kwa kutegemea upunguziwe mastress ya maisha matokeo yake unaenda kubebeshwa madeni tena.

Kanisa siku nzima linachangisha fedha, bado kuna sadaka kama 7 hivi aloo. Hawa majamaa hapana aisee. Mungu hajaagizo mambo ya hivyo. Sadaka ni hiari ya mtu ila siku hizi unapangiwa hadi kiwango.
Nenda kwa waganga.
Ibada lazima iambatane na sadaka.
Hakuna anayelazimishwa kutoa sadaka.
 
Unaingia kanisani na shida zako kwa kutegemea upunguziwe mastress ya maisha matokeo yake unaenda kubebeshwa madeni tena.

Kanisa siku nzima linachangisha fedha, zbado kuna sadaka kama 7 hivi aloo. Hawa majamaa hapana aisee. Mungu hajaagizo mambo ya hivyo. Sadaka ni hiari ya mtu ila siku hizi unapangiwa hadi kiwango.
Zaka na sadaka,Tena ujenzi,matendo ya huruma,,huduma ya mchundaji,dorkas,ahh tutafika tuu!
 
Unaingia kanisani na shida zako kwa kutegemea upunguziwe mastress ya maisha matokeo yake unaenda kubebeshwa madeni tena.

Kanisa siku nzima linachangisha fedha, bado kuna sadaka kama 7 hivi aloo. Hawa majamaa hapana aisee. Mungu hajaagizo mambo ya hivyo. Sadaka ni hiari ya mtu ila siku hizi unapangiwa hadi kiwango.
Wewe unaweza fungua biashara yako halafu usiwe unaongelea bei ya bidhaa zako!?
 
Back
Top Bottom