Elections 2010 Siku 4 za mwisho za utawala wa CCM na JK

Gerad2008

JF-Expert Member
Jun 9, 2009
583
287
Ninapenda nitumie nafasi hii kama mwana JF mwenzenu tuache kwa dakika chache mambo ya uchaguzi ambao unamaliza utawala wa miaka 50 ya CCM. Zimebaki siku 4 tu kwa CCM kumaliza utawala wake wa kuwadanganya wa TZ kwa miaka takribani 50. Tunaingia katika era ya kujenga nchi kwa upya na ningependa wa TZ tukimaliza wiki moja ya kusherehekea ushindi na kuapishwa kwa rais wetu mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dk. Wilbrod Peter Slaa basi tuingie kazini moja kwa moja kumsaidia kutekeleza sera zake safi.

Kwa upande mwingine naomba sana sana Rais anayemaliza muda wake inabidi tusimbuguzi kabisaaa ila aone jinsi uongozi usio na ufisadi unavyoweza kumbadilisha mtanzania. Aachwe na asiruhusiwe kuondoka nchini ili tu prove wrong sera zake mbovu akijionea kwa macho kwani hiyo ni adhabu Tosha.

Nawapongeza kwa maamuzi ya kulingoa JITU lililotutesa kwa miaka 50

HONGERENI SANA WATANZANIA!!!!!!!!!!
 
Jamani acheni utani yaani kweli jamaa anakosa kabsaaa, maskini wee, kweli mwenzio akinyolewa... by the way,, where is malaria ya sugu?????
 
Back
Top Bottom