CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 4,986
- 4,083
===
Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), iliyokutana Dar es Salaam leo Jumapili Oktoba 01, 2023.
===
Kamati kuu hiyo chini ya Mwenyekiti wake Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imtemteua Mkuu wa Wilaya ya Momba, Fakii Raphael Lulandala kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi (UVCCM).
===
Taarifa ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya chama hicho (NEC), Itikadi na Uenezi, Sophia Mjema, imeeleza kuwa kabla ya uteuzi huo Lulandala, alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Momba mkoani Songwe.
===
#MAMA HAKAMATIKI