- Thread starter
- #41
Dr slaa ni kiongozi makini, hasinge anza kuangaika na meya wa arusha wakati ccm wanataka kuchakachua KATIBA YA NCHI, alikuwa kwenye harakati nyingine za kuokoa taifa, na imewezekana kikwete na hao wanyonyaji wenzake wamerudi nyuma na muswada umchomolewa bungeni, sasa hiyo ya Arusha shukurani kukumbushia wewe subiria, au kuna akari wa kuua watu wamemaliza mafunzo ndio maana unajifanya kifua mbele, wewe si umeona kilichotokea TABORA, POLICE wenyewe wanasema serikali imeogopa maandamano na kutimiza mnachodai , hivyo hakuna tena haja ya maandamano!!!!!
Mkuu,
Ngoja nitoke nje kidogo. Nafikiri watu wa ccm wana akili sana lakini akili yao wanaitumia kwa evil ways , ku-manipulate umma. Huu unaosema ushindi ni failure kubwa sana ktk katiba.
Kwanini, mwanzo umma ulitaka katiba ccm hawakuitaka na nina amini hawataki katiba mpya, lakini wameweza kujigeuza kwamba wao ndo wanataka katiba harafu wananchi wanaipinga. Watacheza na tune hiyo hiyo mpaka 2015 inapita.
Tukirudi ktk 21 za Slaa, mhhhh