Ni vita kati ya Jerry slaa dhidi ya wanyeviti wa mitaa na vijiji, amejikaanga mwenyewe

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,666
Baadaa ya waziri slaa kukata Bomba la pesa la wenyeviti wa mitaa na vijiji nchi Zima Sasa mashambulizi makali yanaelekezwa kwake kuelekea uchaguzi wa serkali za mitaa na ule mkuu .

Hawa wenyeviti hawana kipato Cha kumudu maisha zaidi ya kupata hizo 10% za mauzo ya mashamba,viwanja na nyumba so hapa waziri slaa amelikanyaga vita itaanzia kwa wabunge na madiwani kuambiwa kuwa waziri kazingua na watamtaka mlezi wao ambaye ndio rais amtimue maana bila hao CCM sio kitu.

Sasa wamejiunga wakakusanyana chini ya Umoja wao na ikumbukwe Hawa ndio ngao ya CCM kuendelea kutawala ni wazi CCM itamtosa slaa na kubeba wanyeviti,slaa hawezi kuwa juu ya wanyeviti ambao hata serkali inawaogopa ikija ishu ya kutafuta kura .

USSR

Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
 
Wenyeviti bwana! Huwa wanajikuta wajuaaaji! Nawaza hivi huwa hawajiulizi Watendaji wa Mitaa wanaoletwa kwenye maeneo Yao wanalipwa mshahara na serikali ila wao Wenyeviti hawalipwi Bali hupewa posho ya elfu 50 Kwa mwezi sawa na kwenye Kata, nadhani Diwani halipwi mshahara lkn Mtendaji Kata analipwa.

Swali, hivi Mtendaji Kata ambaye ndiye Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Kata na Diwani siyo Mjumbe, ana Polis Kata, ndiye Boss wa Maafisa wote (Wataalam) wa Kata na Diwani nani Mkubwa kimamlaka?

Ile Ofisi Huwa inaandikwa Ofisi ya Mtendaji Kata na humohumo unazikuta Ofisi mbalimbali ya Wataalamu na ya Diwani imo mle-mle; nani Boss wa mwingine?

Wataalam wa Local gvt nisaidie hili jambo, nikienda kupata huduma pale huwa najiuliza nani Boss wa mwenzake?
 
Ni unafiki mtu kuwa na nafasi ya uwaziri halafu aseme kuna mtu alitaka kumpa rushwa ya milion 300 halafu huyo mtu bado takukuru hawajamkamata.
Kwanza takukuru ilibidi wamfuate awaonyeshe aliyetaka kumpa rushwa. Ingekuwa ni wale wa rushwa ya lak 5 huko chini ungesikia ashakamatwa
 
Acha mikwara wewe Hizo petro station lazima zipigwe chini.
Lakini tujiulize, kuna mtu anaweza jenga petrol station bila kuwa na kibali? Kama jibu ni hapana, je waliotoa vibali mbona hawashughulikiwi. Yani unachomoa majani ya mtu ukitegemea mti hautaota tena wakati mizizi bado iko chini.
Waanze kushughulikia pia wanaotoa vibali.
TZ uongozi una tabia ya kudeal na matomeo tu badala ya chanzo au sababu ya matokeo hayo.
 
Baadaa ya waziri slaa kukata Bomba la pesa la wenyeviti wa mitaa na vijiji nchi Zima Sasa mashambulizi makali yanaelekezwa kwake kuelekea uchaguzi wa serkali za mitaa na ule mkuu .

Sasa wamejiunga wakakusanyana chini ya Umoja wao na ikumbukwe Hawa ndio ngao ya CCM kuendelea kutawala ni wazi CCM itamtosa slaa na kubeba wanyeviti,slaa hawezi kuwa juu ya wanyeviti ambao hata serkali inawaogopa ikija ishu ya kutafuta kura .

USSR

Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
Silaa kaamua vizuri sana. Hakuna kuuza kiwanja hakijapimwa. Tumuunge mkono. Hawa wenyeviti wa vijiji ndio wauzaji ovyo wa maeneo. Unakuta sheria iko wazi kijiji hakiwezi kuuza zaidi ya ekari 50 ila unakuta mtu kauziwa mamia ya ekari tena mgeni hakuna cha kikao cha kijiji ila mwenyekiti anakula rushwa anauza. Rushwa tupu inatumika mnunuzi anahalalishwa.
Tutamuunga mkono yeyote mwenye kutetea haki na sheria na tutampinga yeyote mwenye kuja na ufisadi na dhuluma.
 
Baadaa ya waziri slaa kukata Bomba la pesa la wenyeviti wa mitaa na vijiji nchi Zima Sasa mashambulizi makali yanaelekezwa kwake kuelekea uchaguzi wa serkali za mitaa na ule mkuu .

Sasa wamejiunga wakakusanyana chini ya Umoja wao na ikumbukwe Hawa ndio ngao ya CCM kuendelea kutawala ni wazi CCM itamtosa slaa na kubeba wanyeviti,slaa hawezi kuwa juu ya wanyeviti ambao hata serkali inawaogopa ikija ishu ya kutafuta kura .

USSR

Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
Waziri wa Ardhi Jerry Silaa vita hii ameichokoza yeye mwenyewe baada ya kutoka Tamko au Tangazo ambalo liko kinyume na matakwa ya Sheria za nchi. Hao Wenyeviti wa Serikali za Mitaa kwanza kisheria hawaruhusiwi kushuhudia mikataba ya mauziano ya ardhi kwa sababu siyo Mawakili na wala siyo Makamishina wa Viapo.
 
Slaa kaamua vizuri sana. Hakuna kuuza kiwanja hakijapimwa. Tumuunge mkono. Hawa wenyeviti wa vijiji ndio wauzaji ovyo wa maeneo. Unakuta sheria iko wazi kijiji hakiwezi kuuza zaidi ya ekari 50 ila unakuta mtu kauziwa mamia ya ekari tena mgeni hakuna cha kikao cha kijiji ila mwenyekiti anakula rushwa anauza. Rushwa tupu inatumika mnunuzi anahalalishwa.
Tutamuunga mkono yeyote mwenye kutetea haki na sheria na tutampinga yeyote mwenye kuja na ufisadi na dhuluma.
Maamuzi ya Jerry Silaa siyo mazuri kama unavyodhani, amekiuka Sheria za nchi. Tanzania ya sasa tunafuata mfumo wa soko huria, mmiliki wa ardhi ana haki ya kuuza ardhi yake pasipo kuwekewa na vikwazo vyovyote vile visivyokuwa na msingi. Tafsiri ya neno "ardhi" inajumuisha ardhi yote, yaani ardhi iliyopimwa (surveyed land) na ardhi isiyopimwa (unsurveyed land). Sasa yeye Jerry Silaa hayo mamlaka ya kuzuia watu wasiuze ardhi yao ambayo haijapimwa kayatoa wapi?????
 
Wenyeviti bwana! Huwa wanajikuta wajuaaaji! Nawaza hivi huwa hawajiulizi Watendaji wa Mitaa wanaoletwa kwenye maeneo Yao wanalipwa mshahara na serikali ila wao Wenyeviti hawalipwi Bali hupewa posho ya elfu 50 Kwa mwezi sawa na kwenye Kata, nadhani Diwani halipwi mshahara lkn Mtendaji Kata analipwa.

Swali, hivi Mtendaji Kata ambaye ndiye Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Kata na Diwani siyo Mjumbe, ana Polis Kata, ndiye Boss wa Maafisa wote (Wataalam) wa Kata na Diwani nani Mkubwa kimamlaka?

Ile Ofisi Huwa inaandikwa Ofisi ya Mtendaji Kata na humohumo unazikuta Ofisi mbalimbali ya Wataalamu na ya Diwani imo mle-mle; nani Boss wa mwingine?

Wataalam wa Local gvt nisaidie hili jambo, nikienda kupata huduma pale huwa najiuliza nani Boss wa mwenzake?

Mtendaji Kata ana mamlaka ya kukamata, ana mamlaka ya kumuweka mtu yeyote rumande.

Mtendaji ni muwakilishi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ngazi ya Kata. Ndiye Afisa Mipango Mkuu wa Kata.

WEO ni katibu wa Kamati ya Maendeleo ya Kata ambapo Diwani ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo.

Kimsingi ukienda Kata unasema unaenda kwa Mtendaji na siyo kwa Diwani.

Kwa hiyo Mtendaji ndiye Ofisa Mkuu wa Serikali ngazi ya Kata, wakati Diwani ni muwakilishi wa Wananchi.

Ni kama useme Katibu Mkuu wa Wizara na Mbunge.
 
Baadaa ya waziri slaa kukata Bomba la pesa la wenyeviti wa mitaa na vijiji nchi Zima Sasa mashambulizi makali yanaelekezwa kwake kuelekea uchaguzi wa serkali za mitaa na ule mkuu .

Hawa wenyeviti hawana kipato Cha kumudu maisha zaidi ya kupata hizo 10% za mauzo ya mashamba,viwanja na nyumba so hapa waziri slaa amelikanyaga vita itaanzia kwa wabunge na madiwani kuambiwa kuwa waziri kazingua na watamtaka mlezi wao ambaye ndio rais amtimue maana bila hao CCM sio kitu.

Sasa wamejiunga wakakusanyana chini ya Umoja wao na ikumbukwe Hawa ndio ngao ya CCM kuendelea kutawala ni wazi CCM itamtosa slaa na kubeba wanyeviti,slaa hawezi kuwa juu ya wanyeviti ambao hata serkali inawaogopa ikija ishu ya kutafuta kura .

USSR

Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
Bora iwe hivyo na uwe ndio kifo cha mende kwa chama chukua chako mapema.🤣
 
Asante kwa taarifa kuwa...RUSHWA ndani ya ccm imeanzia chini kabisa uvunguni
 
Hawa Wahuni Wanapiga Cash Wakati KKK Hizo Tatu Hawana
 
Upo ila unauwawa na kijani😁
Ndio haupo sasa.
Upinzani na wapinzani ni wachache.
Mzee wetu Mbowe alifurukuta sana lkn sasa amechoka na ameanza kugeuka rangi ya kijsni kwenye viatu.
Wapinzani twaweza kuwahesabu wakiongozw na;
Lissu
Heche
Mnyika
Lema
Msigwa kwa mbaali
 
Back
Top Bottom