Sikiliza makala ya biashara ya kusafirisha WAHAMIAJI HARAMU-BBC

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Wadau,mwandishi Eric david Nampesya amefanya uchunguz wa biashara haram ya binadam,watu ambao anawahoji wanakiri kuwa wanashirikiana na askari wa uhamiaji,makala hiyo itaendelea jioni
 
Wadau,mwandishi Eric david Nampesya amefanya uchunguz wa biashara haram ya binadam,watu ambao anawahoji wanakiri kuwa wanashirikiana na askari wa uhamiaji,makala hiyo itaendelea jioni

kwa serikali legelege duniani kama ya ccm, huya mambo ni ya kawaida kwenye nchi. sijui hili liserikali litaanguka lini tu, maana hata kama huna nia ya kutenda dhambi linakutengenezea mazingira ya kutenda dhambi. CCM ILAANIWE!!!!!
 
Back
Top Bottom