sijui wewe ungependa uwe nani.........?

ila isije ukawa wewe ni she manake mbona kama jibu lako lina nipa hisia za kutoa cheo halali kwa mtu asiyehalali? kama ni ke niambie nikupe cheo stahiki mkuu na umuhimu ako utazingatiwa.:A S confused::A S confused::A S confused:

Afu hapo aliposema wa ukwee mie pia pamenipa mashaka......wakaka hawatumiagi hilo neno stuka gfsonwin!!!!
 
Last edited by a moderator:
Huyo mama ngina na mumewe mtambuzi na binti yao cantalisia wote wanachati humu lol. alafu dogo jina langu lii wapi.
 
Unaweza kunisaidia kumwambia ili kina gfsonwin wakusikie na waelewe. Afu we si una deni langu? Unajua dawa ya deni ni nini?

Hehehe.....sifafanui zaidi ya hapo kama hawajaelewa shauri zao.........deni linakaribia kulipwa usiwe na khofu......sijakwambia likizo imesogezwa kwasababu zilizo nje ya uwezo?.....siku zinahesabika sasa!
 
Hehehe.....sifafanui zaidi ya hapo kama hawajaelewa shauri zao.........deni linakaribia kulipwa usiwe na khofu......sijakwambia likizo imesogezwa kwasababu zilizo nje ya uwezo?.....siku zinahesabika sasa!

Unaonaje ukiidiliti hii posti kabla wanga hawajaiona? Hawachelewi kuloga likizo ikasimamishwa kwa manufaa ya serikali inayoongozwa na wadhaifu. Source: Mnyika
 
Unaonaje ukiidiliti hii posti kabla wanga hawajaiona? Hawachelewi kuloga likizo ikasimamishwa kwa manufaa ya serikali inayoongozwa na wadhaifu. Source: Mnyika

Hahahaha.....ngoja naidiliti sasahivi lol.....wadhaifu huwa wana mambo ya ajabu sana!.
 
Jamani nikiwa mwenyewe kwa Asprin nitanyong'onyea plz kubali upendo huu....

lol!@baili tabia mbona wanibembeleza sana au wewe na Asprin mmepanga kunikomesha eeh! manake naskia mnafuga mbwa sasa isije ikawa ni janja ya nyani mnipeleke nikawe .................lol nshawashtukia nyie mi gwiji la jiji sikamatiki kirahisi
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha .....wazee wenzie sahizi wanacheza bao namshangaa huyu Asprin......sijui mzee gani anajua mambo ya dot com

naona an hamu ya kumkaliza mtu eda huyu.Ila Kongosho ndio hatendi kazi vizuri manake naskia kamdiliti fasta akamwacha akijimwagia barafu yeye akaenda kwa ma janki damu full kuchemka chezya mavibration ya kongosho weye.
 
Last edited by a moderator:
na mi ndo kilicho nistua aisee lol! huyu lazima atakuwa ni she. sasa Remmy wewe nakupa nafasi ya dada wa moyoni sawa?

Hahahaaaaaaa, jamani mbona mwataka kunidhalilisha? Mie ni kakako wa ukwee, wee Sweetlady acha hizo.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaaaa, jamani mbona mwataka kunidhalilisha? Mie ni kakako wa ukwee, wee Sweetlady acha hizo.

yaan best sikiliza Remmy dada yangu mpendwa uandish wako una disclouse kuwa wewe ni dada na hapa hata kama ni kwakubet niko tayari.
 
Last edited by a moderator:
yaan best sikiliza Remmy dada yangu mpendwa uandish wako una disclouse kuwa wewe ni dada na hapa hata kama ni kwakubet niko tayari.

Labda nina akili ya kidada. Lakini my nonino ni me.
 
Last edited by a moderator:
wana jf ni asbh kazi zinaenda na misuli inabana ila naona niwaletee wafuato na nafasi zao katika moyo wangu na maisha yangu,
Smile LEVEL Eiyer babe S hawa ni wadogo zangu wa moyoni nawapenda sana. and i will always be there for them. Preta charminglady CANtalisa Kaunga SIMilinggirl sweetlady Kipipi Roulette BADILI TABIA Mwanajamii one hawa ni my true female friends. mnanafasi kubwa moyoni mwangu
Zinduna huyu ni kungwi na nyakanga mwenzangu.
ASHA dii Mama Ngina hawa ni mama ushauri wenzangu
Kongosho Erotica hawa ni wazee wa site kama mimi so siri zetu tutaambiana chumbani.
Asprin Dark City cartura mito Speaker Mtambuzi BAK Bishanga( ila ingawa nilikusuta sana lkn unathamani sana kwangu) hawa niwazee wenzangu wa baraza.

@mr rock city Bazazi boss hawa ni male friends wangu. they are ma true brothers.
Maprucino MziziMkavu hawa ni madaktari wangu
Kaizer huyu ni wa moyo wangu

ambao sijawataja nawapenda sana so niambieni ninyi ni nani kwangu kila mtu kwa cheo chake ama ambaye kaona cheo chake kwangu siyo hicho naye pia aniambie. but real ilove jf.
Asante bibie .. gfsonwin
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom