sijui wewe ungependa uwe nani.........?

mupenzi nakubali kwa moyo mkunjufu gfsonwin awe mke mwenzangu, hii ni kudhihirisha upendo wangu kwake........

Mimi kiukweli gfsonwin ningependa sana uwe mke wangu wa pili. Si umeona Kongosho alichonitenda?

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
gfsonwin my dear thanx kwa kunijuza, wacha niende naye tu polepole asijeachwa kwa haraka akatufia bure humu jamvini! sawa ngoja niwasubiri hao vijana waweke nia zao, yang masta nimemtuliza kwanza, nadeal na wengine lol!

We cacico umesema nani anataka kukufia kifuani? Afu gfsonwin unaweza niambia leo ni jumangapi. Nawe sweetlady imakuwaje umehamishia hii sredi jukwaa la wakubwa?
 
Last edited by a moderator:
jamani nashukuru sana kaka yangu mpenzi. kwako siku zote heshima mbele si unajua kaka anapaswa kuheshimiwa sana?

Shukrani! Heshima za muhimu kwa kaka yako mpenzi. Nami nitakuheshimu my dada wa ukwee.
 
We cacico umesema nani anataka kukufia kifuani? Afu gfsonwin unaweza niambia leo ni jumangapi. Nawe sweetlady imakuwaje umehamishia hii sredi jukwaa la wakubwa?

@aspri ushakuwa zilipendwa babu, kasema wewe utamfia kifuani, haya miye nakujibu leo ni ijumaa toa moja. haya ya sweetlady hayakuhusu. katafute wazee wenzio
 
Last edited by a moderator:
Shukrani! Heshima za muhimu kwa kaka yako mpenzi. Nami nitakuheshimu my dada wa ukwee.

ila isije ukawa wewe ni she manake mbona kama jibu lako lina nipa hisia za kutoa cheo halali kwa mtu asiyehalali? kama ni ke niambie nikupe cheo stahiki mkuu na umuhimu ako utazingatiwa.:A S confused::A S confused::A S confused:
 
Back
Top Bottom