Sijui nimenusurika!!!!

Miji2 mingine, bora hata ungefoj chet then ukasomee ualimu wa chekechea wa kuimba na watoto{play ground/baby clas} kuliko CLINICAL OFICER, utatuulia ndugu ze2 buree na vyet vyako vyenye makengeza.
 
hicho cheti ni orijino huwezi kamatwa sasa ila subiria kidogo utaumbuka tu system ya utumishi, RITA, ppf, pspf na nssf ziunganishwe!
alafu inaeleke wewe wewe walikuuzia ghali sana!! wenzio laki moja tu
 
jina hawatokufahamu...je watashindwa kunotify mwenye three ya 25 asiye na crdts wakakunyofoa
 
kama kilitoka wizarani hakitakuwa fake ila kukamatwa sahau hii nchi ishauzwa kila kitu shaghalabaghala.......

Huu mchezo wizarani upo sana. kuna dada aliwahi uziwa cheti cha ualimu akapangiwa hadi kituo cha kazi.
 
Kweli cheti ni fake, wakakutengenezea na division fake 3.25 ya bila credit????? Ndo kwanza nasikia kwako..
 
Huu mchezo wizarani upo sana. kuna dada aliwahi uziwa cheti cha ualimu akapangiwa hadi kituo cha kazi.
si mara ya kwanza hata mie kusikia hizi habari ..ninacgojua hakuna mashine za kugundua hivyo vyeti huku mitaani na kama zipo ziko ofisi nyeti sana..
 
This is real dangerous, yaani wizara ya elimu inauza vyeti? Sikutarajia, sasa yanini kukamata wanauchongesha vyeti mitaani kama na wizara yenyewe inachongesha? Halafu hawa walionunua vyeti ndiyo wanakuja kusecure kazi nzuri huku wale waliosota darasani wakiendelea kusugua lami kutafuta kazi. Hiii ni hatari kubwa sana.
 
Umeuziwa ghali sana,wenzio wanauziwa vya advance kwa lak3 had laki2,na wanaombea vyuo kuptia tcu na mikopo wanapata!weng wao wanapga education!ndo mana mijalimu cipendi cz elimu zao magumashi na hawawez kugoma wanaogopa kufuatiliwa wasije kuumbuka!pumbav
 
Sasa unataka watu wakuambie nini sasa, we kaa subiri ujionee mwenyewe jinsi masomo yanavyokutoa nje maana inaonekana ulitaga wewe sasa kutaga na u nurse ni mbali mbali.

Shule ya hapo itakuwa ni adhabu kwako.

Fuata ushauri wa watu kuomba MoDs aifute thread hii acha ubishi hata kama jina si lako.
 
Umenunua cheti 2nakuja huko kaa tayari

Mkifika tu mnakusanya vyeti vyote vya div three na intrview ina base hasa wenye point 25. Kwanza normal intrview kama anayajua mazingiza yake. Pili kapaper ka shikaji zezeta aliyefoji cheti naamini lazima atanaswa.

Binti kaa mkao wa kula watu wapo njiani kuja Moshi.
 
Nyie ndio mnaotuua mahospitalini, ni bora ungesema sekta nyingine sio hiyo sekta nyeti ya kucheza na maisha ya watu. Hili ni janga lingine.
 
Huyo dogo kama alifanya mtihani ina maana jina,index no. na matokeo yake ya awali yatakuwa kwenye data base ya NECTA hao waliomfojia cheti wanaweza kuwa wame2mia jina na index no yake ila matokeo sio yale yaliyoko NECTA au kama hawaku2mia jina na index no yake ndo mbaya zaidi point yangu ni kuwa alichofanya ni hatari wakiamua kufuatilia watamkamata tu akitaka kujua kama kaliwa aingie kwenye web ya NECTA aingize index no na mwaka alofanyia mtihani kama atakuta matokeo ya zamani au hayo alouziwa umekurupuka dogo hata ukipona sasa hv ipo cku watakushika hilo bom any time litaripuka
 
Khaaa!yani mambo yanayotendeka kwenye hii nchi ukiyasikia unaweza pata mtikisiko wa ubongo!
 
Inawezekana hii issue imetokea kweli, ila kuna mtu kaamua kuji register humu JF kwa kutumia hilo jina la jamaa na kuandika hii thread kuhusu hiyo issue. Sidhani unaweza kuwa mpumbavu kiasi hicho uandike issues serious ya kufoji af utumie jina lako halisi na uonyeshe na sehemu ulipo
 
Hapa umeleta huo ujinga na utapeli ili tukushauri nini?? Ni kwanini ulipoenda wizarani kuonga baada ya kupoteza muda wako shuleni haukuja hapa kutafuta ushauri??? Kwa hili umewaamsha watu wengi kumbe mlioko vyuoni ni mazabe hata nyie wenyewe mnajua, shame on you. Lete hoja nyingine plese.
 
happy amos anatuchezea inaonekana alitaka kupata opinion ya watu kuhusu hili la vyeti feki kwani mtu unaambiwa ni hatari wewe unasema unajua unachokifanya au wewe ni Mwanaasha nini maana hata yeye alifeli form four
 
Radi ikipiga na ukafanikiwa kuona mwanga ule mkali ujue umenusurika.
Nchi imekamatwa na watu wa aina yako ndyo walioko madarakanai.
Mfano: Wangapi wanajiita MaDr bila kwenda Chuo?
Wangapi wanatumia majina yasio yao na sasa ni wabunge?????
Wangapi wanajiita wakandarasi wako wanakula Tenda za barabara bila kwenda skuli?
Wangapi??
Shortly Mwizi hawezi kukamata Mwizi
 
Back
Top Bottom