Sijui hapa nishauri nini kwa wapenzi hawa?

Siku ya leo nimefuatwa na rafiki yangu kipenzi kuniomba ushauri juu ya mpenzi wake.

Rafiki yangu ni mwajiriwa wa kiwanda cha cement na amepanga kufunga ndoa na dada mmoja msomi wa chuo kikuu na kuna taratibu zishaanza kufuatwa

Sasa bas bi dada(shemeji yangu)chuoni kulikuwa na kisherehe cha kuwaaga wahitimu

Sasa siku ya tukio akamwomba ruhusa mshikaji wangu ya kwenda kwenye hiyo sherehe(kuna muda mwanaume alikuwa anamkatalia baadhi ya sherehe kwenda)

Sasa siku hiyo jamaa akampa ruhusa na alichomwambia yule dada ni take "care""(nimenukuu)

Bas jamaa akawa anajiandaa kuingia zake kazini ila cha ajabu kuna kitu kikamtuma apitie sehemu ya hiyo sherehe kabla ya kwenda kazini.

Shetani akiamua lake sasa:::,!!Hamadi jamaa akiwa garini anamuona mchumba ake analetwa na jamaa aliyetambulishwa na mpnz wake kuwa ni marafiki(mara kwa mara jamaa alikuwa anakuta sms za jamaa kwa bidada japo ni za kawaida tu)
Ilipofika usiku wa manane jamaa akaondoka na demu wa rafiki yangu na kumrudisha kwako(kwa mujibu wa shemeji)

Siku inayofuata ambayo ni leo jamaa kamuuliza bi dada alikuja na usafiri gani kwenye hiyo sherehe dada akadanganya kwa boda(wakati jamaa alishuhudia kila kitu)baada ya kubanwa akataja kweli aliletwa na yule mwanamme ambae ni best yake tu na kurud nae hiyo saa 9 usiku;

Sasa amekuja kwangu kuomba ushauri wa vitu vifuatavyo÷

1)Kwanini mpenzi wangu aweze omba ruhusa ya kwenda na kushindwa kusema ataenda na nan?

2) Hii ni kitu cha kawaida?

3) Hana uhakika gan kama bi dada Alienda salama na kurud salama

4) Why akuambiwa na mpenzi wake kuwa atafuatwa na huyo mtu.(hapa dada alijitetea kuwa aliogopa atamzuia)

Ebu niweke wewe kama ndo mshauri kwa ishu kama hii ungeshauri nini maana mimi naona akili yangu kama imegota kutoa ushauri.
Mbona huyo mwanamke mwongo mwongo? Hasemi ukweli mpaka abanwe!! Hiyo ni indicator inayoashiria kukosa uaminifu.
Tatizo kuwashauri wapenzi ni ngumu sana.

Jibu/ushauri lizi/uzi-ngatie maswali na majibu yao. Otherwise ni ngumu....kushsuri katika mapenzi.🙇
 
Mwambie asipaniki bure akavuruga ndoa kwa shida ndogo kama hiyo. Huyo binti hakutaka kusababisha maswali yasiyo ya lazima ndio maana akadanganya kuwa alienda na bodaboda, na hakutaka kuvuruga amani ndio sababu hakumtaja huyo bestie. Na kwa asilimia kubwa naamini alienda salama na kurudi salama. Binti akitaka kuliwa kuna fursa nyingi nzuri zaidi ya hiyo, anaweza kuzitumia. Mwambie awe na amani na imani, mali yake haijaliwa. Kama ameombwa msamaha asamehe yaishe, waendelee na maisha.
Na hata kama angeliwa bado siyo guarantee kuwa angeendelea kuliwa baada ya ndoa. Mimi mwenyewe shahidi, girlfriend wangu wa kwanza alichumbiwa akaaolewa na mwanaume mwingine. Hatukuwahi kugombana chochote, mwenzangu alinizidi katika utayari wa kutaka kuoa, mimi sikuwa tayari bado nilikuwa dogo na sikuweza kumhakikishia mpenzi kuwa ningemuoa, basi tukakubaliana akaolewe, tukaagana kwa machozi. Hata siku chache kabla ya harusi tulikutana tukaagana cha mwishomwisho, ilikuwa very emotional. Lakini nakuhakikishieni tangu ameolewa ndio kila kitu kilikata kuanzia mawasiliano ya kawaida vyote tulisitisha hadi leo sijawahi kumgusa popote. Na amedumu kwa mumewe mwaka wa 30 sasa, wana familia nzuri watoto wakubwa, happy people.
 
Demu wa chuo siyo wakufanya nae mambo serious ya maisha..
Subili after graduation akae mtaani kama Miaka kadhaa apigike, wahuni wapige wamuache wamdanganye tena apigike alafu ikifika kama 5 years hapo akili huwa zinafunguka sasa ukipanga naye mambo mnakuwa on same page.

Kama Kuna mtu anabisha kajaribu kudate na hao viumbe uone wanavyoishi kwenye ndoto.
Wana ndoto kubwa sanaaa hawa viumbee
 
Siku ya leo nimefuatwa na rafiki yangu kipenzi kuniomba ushauri juu ya mpenzi wake.

Rafiki yangu ni mwajiriwa wa kiwanda cha cement na amepanga kufunga ndoa na dada mmoja msomi wa chuo kikuu na kuna taratibu zishaanza kufuatwa

Sasa bas bi dada(shemeji yangu)chuoni kulikuwa na kisherehe cha kuwaaga wahitimu

Sasa siku ya tukio akamwomba ruhusa mshikaji wangu ya kwenda kwenye hiyo sherehe(kuna muda mwanaume alikuwa anamkatalia baadhi ya sherehe kwenda)

Sasa siku hiyo jamaa akampa ruhusa na alichomwambia yule dada ni take "care""(nimenukuu)

Bas jamaa akawa anajiandaa kuingia zake kazini ila cha ajabu kuna kitu kikamtuma apitie sehemu ya hiyo sherehe kabla ya kwenda kazini.

Shetani akiamua lake sasa:::,!!Hamadi jamaa akiwa garini anamuona mchumba ake analetwa na jamaa aliyetambulishwa na mpnz wake kuwa ni marafiki(mara kwa mara jamaa alikuwa anakuta sms za jamaa kwa bidada japo ni za kawaida tu)
Ilipofika usiku wa manane jamaa akaondoka na demu wa rafiki yangu na kumrudisha kwako(kwa mujibu wa shemeji)

Siku inayofuata ambayo ni leo jamaa kamuuliza bi dada alikuja na usafiri gani kwenye hiyo sherehe dada akadanganya kwa boda(wakati jamaa alishuhudia kila kitu)baada ya kubanwa akataja kweli aliletwa na yule mwanamme ambae ni best yake tu na kurud nae hiyo saa 9 usiku;

Sasa amekuja kwangu kuomba ushauri wa vitu vifuatavyo÷

1)Kwanini mpenzi wangu aweze omba ruhusa ya kwenda na kushindwa kusema ataenda na nan?

2) Hii ni kitu cha kawaida?

3) Hana uhakika gan kama bi dada Alienda salama na kurud salama

4) Why akuambiwa na mpenzi wake kuwa atafuatwa na huyo mtu.(hapa dada alijitetea kuwa aliogopa atamzuia)

Ebu niweke wewe kama ndo mshauri kwa ishu kama hii ungeshauri nini maana mimi naona akili yangu kama imegota kutoa ushauri.
Mambo yao waachie wenyewe.
 
Ebu na nyie acheni kumind vitu vidogo....yani kisa wee unamgegeda ndio asigegedwe na wanaume wengine?🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mwambie asipaniki bure akavuruga ndoa kwa shida ndogo kama hiyo. Huyo binti hakutaka kusababisha maswali yasiyo ya lazima ndio maana akadanganya kuwa alienda na bodaboda, na hakutaka kuvuruga amani ndio sababu hakumtaja huyo bestie. Na kwa asilimia kubwa naamini alienda salama na kurudi salama. Binti akitaka kuliwa kuna fursa nyingi nzuri zaidi ya hiyo, anaweza kuzitumia. Mwambie awe na amani na imani, mali yake haijaliwa. Kama ameombwa msamaha asamehe yaishe, waendelee na maisha.
Na hata kama angeliwa bado siyo guarantee kuwa angeendelea kuliwa baada ya ndoa. Mimi mwenyewe shahidi, girlfriend wangu wa kwanza alichumbiwa akaaolewa na mwanaume mwingine. Hatukuwahi kugombana chochote, mwenzangu alinizidi katika utayari wa kutaka kuoa, mimi sikuwa tayari bado nilikuwa dogo na sikuweza kumhakikishia mpenzi kuwa ningemuoa, basi tukakubaliana akaolewe, tukaagana kwa machozi. Hata siku chache kabla ya harusi tulikutana tukaagana cha mwishomwisho, ilikuwa very emotional. Lakini nakuhakikishieni tangu ameolewa ndio kila kitu kilikata kuanzia mawasiliano ya kawaida vyote tulisitisha hadi leo sijawahi kumgusa popote. Na amedumu kwa mumewe mwaka wa 30 sasa, wana familia nzuri watoto wakubwa, happy people.
Mbona kama ni wewe vileee!! Mwandiko wako unafanana na rafiki wa yule demu (jokes)😄😄😄😄😄
 
kuna mengine hayataki ushauri, hili mbona jambo dogo sana. Mwambie jamaa yako amekua sasa, ajifunze kuwaza na kuchukua maamuzi mwenyewe aache utoto.

Dunia ina sarakasi nyingi sana, usipokikomaza kichwa chako na kujifunza kuwaza na kuamua mwenyewe utateseka sana.
 
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
Una maanisha nn hapa??
Shetani akiamua lake sasa:::,!!Hamadi jamaa akiwa garini anamuona mchumba ake analetwa na jamaa aliyetambulishwa na mpnz wake kuwa ni marafiki(mara kwa mara jamaa alikuwa anakuta sms za jamaa kwa bidada japo ni za kawaida tu)
Ilipofika usiku wa manane jamaa akaondoka na demu wa rafiki yangu na kumrudisha kwako(kwa mujibu wa shemeji)

Siku inayofuata ambayo ni leo jamaa kamuuliza bi dada alikuja na usafiri gani kwenye hiyo sherehe dada akadanganya kwa boda(wakati jamaa alishuhudia kila kitu)baada ya kubanwa akataja kweli aliletwa na yule mwanamme ambae ni best yake tu na kurud nae hiyo saa 9 usiku;
Soma hayo maandishi ya blue
 
Soma hayo maandishi ya blue mimi nina marafiki wa kike lakini kuna wale ninao wataka akinikalia sawa nakula sina urafiki wa maneno tu wakati papuchi ndio target yangu.
Unamaanisha?
 
Swala dogo mno. Kapelekwa na kurudishwaz hajashuhudia lolote baya.

Kama anahisi vinginevyo ampige marufuku mwanamke wake na huyo mwanaume. Full stop.
Chuoni wanawake huwa na wapenzi wao. Hakika jamaa amegongewa kwasababu hakuna urafiki kati ya mwanaume na mwanamke.
Hata akioa lazima agongewe mke wake. Wanawake wa ajabu sana, unaweza kuwa naye lakini anamkumbuka jamaa yake wa zamani.
 
Kifupi na ukweli ni huu, HAKUNA URAFIKI BAINA YA MWANAMKE NA MWANAUME WASIO NA UNASABA.
Hiyo Wasiwasi ya huyo rafiki yako ni sawa, ijapokuwa wapo watakaopinga. Pachelewe, pakawie, ipo siku wasiwasi utadhihirisha ukweli.
Ngoja tuone
 
Mbona huyo mwanamke mwongo mwongo? Hasemi ukweli mpaka abanwe!! Hiyo ni indicator inayoashiria kukosa uaminifu.
Tatizo kuwashauri wapenzi ni ngumu sana.

Jibu/ushauri lizi/uzi-ngatie maswali na majibu yao. Otherwise ni ngumu....kushsuri katika mapenzi.
Uwongo wake umeongeza mashaka zaidi
 
Mwambie asipaniki bure akavuruga ndoa kwa shida ndogo kama hiyo. Huyo binti hakutaka kusababisha maswali yasiyo ya lazima ndio maana akadanganya kuwa alienda na bodaboda, na hakutaka kuvuruga amani ndio sababu hakumtaja huyo bestie. Na kwa asilimia kubwa naamini alienda salama na kurudi salama. Binti akitaka kuliwa kuna fursa nyingi nzuri zaidi ya hiyo, anaweza kuzitumia. Mwambie awe na amani na imani, mali yake haijaliwa. Kama ameombwa msamaha asamehe yaishe, waendelee na maisha.
Na hata kama angeliwa bado siyo guarantee kuwa angeendelea kuliwa baada ya ndoa. Mimi mwenyewe shahidi, girlfriend wangu wa kwanza alichumbiwa akaaolewa na mwanaume mwingine. Hatukuwahi kugombana chochote, mwenzangu alinizidi katika utayari wa kutaka kuoa, mimi sikuwa tayari bado nilikuwa dogo na sikuweza kumhakikishia mpenzi kuwa ningemuoa, basi tukakubaliana akaolewe, tukaagana kwa machozi. Hata siku chache kabla ya harusi tulikutana tukaagana cha mwishomwisho, ilikuwa very emotional. Lakini nakuhakikishieni tangu ameolewa ndio kila kitu kilikata kuanzia mawasiliano ya kawaida vyote tulisitisha hadi leo sijawahi kumgusa popote. Na amedumu kwa mumewe mwaka wa 30 sasa, wana familia nzuri watoto wakubwa, happy people.
Hongera mkuu
 
Back
Top Bottom