chakula cha watoto
JF-Expert Member
- Apr 25, 2023
- 462
- 974
Hawa watoto wa Obama sijawaona tena kwenye mitandao tangu baba yao astafu urais wa marekani. Hata account yoyote ya mitandao ya kijamii hawana, shida nini?
Ajabu kuliko yote sijawahi ona clip yoyote Ile wanaongea, hata kutoa sauti tu, why this?
Ajabu kuliko yote sijawahi ona clip yoyote Ile wanaongea, hata kutoa sauti tu, why this?