ww mwana mbona unajiona mkubwa sana sijui hata unatakaje na pia mm sitegemei bajeti mm ni money maker sio kama ww hataufikiriii
Nina miaka 24 ninasoma chuo sijawahi sex hata siku moja hivyo nimejawa na hofu kubwa sana kwamba itakuaje hiyo siku hivyo inapelekea uoga wa kuwa na uhusiano na msichana kwakufikiria itakuaje siku akihitaji sex wengine wananifata nakataa sio kwa siwapendi au sitaki hapana nikwamba nafikiri itakuaje sasa hiyo siku akitaka? Na wengine nawatoke mwenyewe wanakubali wakihitaji sex nawazungusha hadi wananitosa wananiona siosio ila mimi najiona niko poa ,sasa hii inakuaje? Na mimi nahitaji kupasha. yaani hadi naogopa kwa hali hii ntakuja kuoa!! Sasa sijui nifanyeje ili niwe na confidence yakutosha maana najikaza lakini bado naloose
huyu anatakiwa atafute kama yeye...maana kuna mmoja alitafuta mzoefu akaishia kuuchukia mchezo wenyewe kimoja,nasikia aliweka kwenye pajasasa waungwana mmemshauri nini huyu dogo anaetaka kufanya matusi?
si mnajua mungu hapendi lakini...................?
sijui,
......atafute jimama?
..........atafute changudoa kwakuwa huko atakuwa amekutana na mzoefu?
........aendelee kupiga puli.....?
............akomae tu mpaka atakapokuwa ameamua kuoa?
achukue lipi hapo?haya kwaherini ...................
Hebu nijuzeni wapendwa, ndo nimetoka kuamka hivoooooooo........
So unataka tukwambie namna ya kufanya? Kama unaogopa basi fahamu unajiweka kwenye brain torture ya hatari, unakuwa kama jibwa koko. Na mwisho wa yote ni kupata mfadhaiko uwapo na mwanamke hiyo siku ya kwanza na uume kushindwa kusimama. Hapo ndipo ujasiri kwa kupigwa nyuma utakapokuingia. Utaishia kibao kata. Kuwa MWANAUME WEWE!
Njoo nikufundishe nikupe maujuzi na tukimalizana utakuwa na confidence ya kufa mtu...lakini niahidi kitu kimoja - hutakuwa unaendekeza sex bila protection sawa dogo!!!! PM for further guidance
Kudadadeki zali la mentali hilo
Si unacheki mwenyewe bahati haimjii mara mbili