Nina miaka 24 ninasoma chuo sijawahi sex hata siku moja hivyo nimejawa na hofu kubwa sana kwamba itakuaje hiyo siku hivyo inapelekea uoga wa kuwa na uhusiano na msichana kwakufikiria itakuaje siku akihitaji sex wengine wananifata nakataa sio kwa siwapendi au sitaki hapana nikwamba nafikiri itakuaje sasa hiyo siku akitaka? Na wengine nawatoke mwenyewe wanakubali wakihitaji sex nawazungusha hadi wananitosa wananiona siosio ila mimi najiona niko poa ,sasa hii inakuaje? Na mimi nahitaji kupasha. yaani hadi naogopa kwa hali hii ntakuja kuoa!! Sasa sijui nifanyeje ili niwe na confidence yakutosha maana najikaza lakini bado naloose