Sijawahi sex hata one day

Katafute changudoa atakufundisha vizuri na hata kusema kwa watu, wenzio tulijifunzia kwa ma house girl
 
Anza kwa kula denda kwa sana, pia pata watu wazima wakupe sex education. What you should expect afterwards. Kumbuka mchovya sali achovyi mara moja.
 
Thread nyingine bwana....bwana Mbu kanifurahisha sana kwa kunikumbusha neno adhimu! Yumkini hukuwahi kufanya Mapenzi so far Mapenzi yanafanywa na wapenzi (usiniulize mbona wengine si wapenzi na wanafanya) tena katika 'recomended age ambayo ni 18 +..huenda ulifanya "matusi" ambayo ni intercourse b4 18!...km kweli hukufanya matusi basi sioni kwanini usivumilie tu hadi ndoa ili ukajifunzie kwa mwandani wako!
 
Ulisha wahi piga bao toka ndotoni (nafikiri ntakua nimeeleweka). kama unakumbuka, recall procedures then, pasha na pull kwanza, then tafuta kachangudoa kakufundishe. there after tafuta deemu unaempenda...then michomo kwa kwenda mbele.
 
From biological science. 120 million sperms are produced per day, and it takes about 7 days for sperms to mature effectively. During sex 100 million sperms are reduced in a single ejaculation.
Sasa twambie wewe unaishi je kama hujawahi ku do basi utakuwa unajinyeto unless other ways unamatatizo wahi kwa dr.
 
Njoo nikufundishe nikupe maujuzi na tukimalizana utakuwa na confidence ya kufa mtu...lakini niahidi kitu kimoja - hutakuwa unaendekeza sex bila protection sawa dogo!!!! PM for further guidance
 
So unataka tukwambie namna ya kufanya? Kama unaogopa basi fahamu unajiweka kwenye brain torture ya hatari, unakuwa kama jibwa koko. Na mwisho wa yote ni kupata mfadhaiko uwapo na mwanamke hiyo siku ya kwanza na uume kushindwa kusimama. Hapo ndipo ujasiri kwa kupigwa nyuma utakapokuingia. Utaishia kibao kata. Kuwa MWANAUME WEWE!
 
Aaaah,sasa ndo nazid kuprove kua you are young......mimi ndio mkubwa maana mtu mwenye umri kama wako ndio mdogo wangu wa mwisho ambae anasoma kama wewe.....and he also makes money lakini ni mdogo.....hata nature ya swali lako inatokana na utoto wako......ndio maana wachangiaji wanakusanifu eti uangalie mbuzi.....coz wanajua ur kid.....hata ubwabwa wa shingo HAUJAKUTOKA....nakushauri endelea kujiridhisha kwa wet dreams.
ww mwana mbona unajiona mkubwa sana sijui hata unatakaje na pia mm sitegemei bajeti mm ni money maker sio kama ww hataufikiriii
 
sasa waungwana mmemshauri nini huyu dogo anaetaka kufanya matusi?
si mnajua mungu hapendi lakini...................?

sijui,
......atafute jimama?
..........atafute changudoa kwakuwa huko atakuwa amekutana na mzoefu?
........aendelee kupiga puli.....?
............akomae tu mpaka atakapokuwa ameamua kuoa?

achukue lipi hapo?haya kwaherini ...................

Hebu nijuzeni wapendwa, ndo nimetoka kuamka hivoooooooo........
 
Nina miaka 24 ninasoma chuo sijawahi sex hata siku moja hivyo nimejawa na hofu kubwa sana kwamba itakuaje hiyo siku hivyo inapelekea uoga wa kuwa na uhusiano na msichana kwakufikiria itakuaje siku akihitaji sex wengine wananifata nakataa sio kwa siwapendi au sitaki hapana nikwamba nafikiri itakuaje sasa hiyo siku akitaka? Na wengine nawatoke mwenyewe wanakubali wakihitaji sex nawazungusha hadi wananitosa wananiona siosio ila mimi najiona niko poa ,sasa hii inakuaje? Na mimi nahitaji kupasha. yaani hadi naogopa kwa hali hii ntakuja kuoa!! Sasa sijui nifanyeje ili niwe na confidence yakutosha maana najikaza lakini bado naloose

Kamcheck Dr. mapema yawezekana haupo salama usije pata aibu hapo baadae
 
sasa waungwana mmemshauri nini huyu dogo anaetaka kufanya matusi?
si mnajua mungu hapendi lakini...................?

sijui,
......atafute jimama?
..........atafute changudoa kwakuwa huko atakuwa amekutana na mzoefu?
........aendelee kupiga puli.....?
............akomae tu mpaka atakapokuwa ameamua kuoa?

achukue lipi hapo?haya kwaherini ...................

Hebu nijuzeni wapendwa, ndo nimetoka kuamka hivoooooooo........
huyu anatakiwa atafute kama yeye...maana kuna mmoja alitafuta mzoefu akaishia kuuchukia mchezo wenyewe kimoja,nasikia aliweka kwenye paja
 
Atalia sasa hivi....dogo mwenyewe mwepes kulia
So unataka tukwambie namna ya kufanya? Kama unaogopa basi fahamu unajiweka kwenye brain torture ya hatari, unakuwa kama jibwa koko. Na mwisho wa yote ni kupata mfadhaiko uwapo na mwanamke hiyo siku ya kwanza na uume kushindwa kusimama. Hapo ndipo ujasiri kwa kupigwa nyuma utakapokuingia. Utaishia kibao kata. Kuwa MWANAUME WEWE!
 
Njoo nikufundishe nikupe maujuzi na tukimalizana utakuwa na confidence ya kufa mtu...lakini niahidi kitu kimoja - hutakuwa unaendekeza sex bila protection sawa dogo!!!! PM for further guidance

Kudadadeki zali la mentali hilo
 
  • Thanks
Reactions: JS
Siku utakapotoeza kamwe hutatoa mkono, so tulizana subiri ndoa kijana, hakuna jipya, I'm telling u this, u dont miss anything we Muombe Mungu akufunulie wa kwako utakae kua nae milele till death makes u apart!
 
Hongera kwa kukaa muda wote huo,huna kosa wala matatizo yoyote,jitunze mpaka utakapooa kijana achana na mambo ya mjini utapotea!
 
Usichanganye elimu na ngono. We bado mdogo sana. Weka jitihada kwenye elimu, soma, maliza, tafuta kazi, uanze maisha yako.
 
mchukue msichana, nenda naye chumbani...
mchezee mchezeane, mchojoe akuchojoe....
muinamishe msogezee ile nondo.....
there you go.
 
je hiyo kitu yako huwa inasimama? kama huwa inakusumbua kwa kusimamasimama (penile erection) hasa asubuhi, basi anza na kupiga punyeto (Masturbation) kwanza, raha ya real sex unayoiogopa ni mara 1000 ya raha ya punyeto, ndyo ilivyo kaka, sasa utauuliza tena jinsi ya kufanya punyeto! kila kitu kipo katika mtandao, wewe google tu utapata mafunzo yote au kama unaishi uswahilini ni rahisi sana kujifunza kwa kupiga chabo, opportunity za chabo zipo nyingi sana kwa sababu ya mazingira yalivyo.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom