doctorz JF-Expert Member Aug 10, 2010 916 228 Feb 11, 2012 #21 Umeanza kuwa na shauku na madame. Je umeshawacha ule mchezo wako bafuni? Kama kweli unapenda basi usirudie huo.
Umeanza kuwa na shauku na madame. Je umeshawacha ule mchezo wako bafuni? Kama kweli unapenda basi usirudie huo.
Wingu JF-Expert Member Jan 14, 2011 4,318 401 Feb 11, 2012 #22 Kuondoa wivu mtupie mimba kaka utakaa kwa amani mbaya
data JF-Expert Member Apr 9, 2011 26,151 22,726 Feb 11, 2012 #23 Ma player ni vigumu sana kukiri wanapokamatwa(kufa kimahaba)... Nahisi kuna vitu Umelishwa.. Mcheki kalumanzila mapema..!
Ma player ni vigumu sana kukiri wanapokamatwa(kufa kimahaba)... Nahisi kuna vitu Umelishwa.. Mcheki kalumanzila mapema..!
GODLIVER CHARLE Member Mar 2, 2011 86 20 Feb 12, 2012 #24 platozoom said: muone kungwi ndio umeingia ukubwani hivyo....halafu waambie wazazi waalike goma la segere Click to expand... yeeeeeeeeeeeeeenanenane;;;;; hapo kwenye red mzee; mh!! Machale kundesa, wewe ni mgosi tuuu!!!!!!!!!!!! Mosile ni zeze?? Utighambile segere kyikyi???
platozoom said: muone kungwi ndio umeingia ukubwani hivyo....halafu waambie wazazi waalike goma la segere Click to expand... yeeeeeeeeeeeeeenanenane;;;;; hapo kwenye red mzee; mh!! Machale kundesa, wewe ni mgosi tuuu!!!!!!!!!!!! Mosile ni zeze?? Utighambile segere kyikyi???