Sijawahi kuona mama mwongo na mnafiki kama huyu mjane

Chama kinaongozwa na wa**?! wapenda pesa alitegemea nini zaidi ya povu la midomo na hamaki za kupinga ukweli
 
njaa mbaya, ndo mana wanasema adui mwombee njaa, mbona atasalimu amri hata kama ni baunsa
 
Sipati picha mtu wako wa karibu kama mume ameshafarik then unakua na ujasiri kusimama kwenye jukwaa la siasa na kuzungumzia oooh sijui flan kala ela za rambirambi ya mume wangu.hapa kunamsukumo wa kisiasa
 
HUYO MWANAMKE ANAJIDHALILISHA TU, KAONA HIYO NDO NJIA YA UJASILIAMALI ? KWANI HIZO 5MILION KAPEWA NA SABODO KAMA NINI ? ANAFAHAMU KUNA WAJANE WANGAPI KATIKA TZ YA CHICHIEM NA CAFA HATA LAKI MOJA HAWAPEWI ? APELEKWE KTK JF AKANUSHE HOJA ZA MTOA MADA ISIJE IKAWA ANATAFUTA M-CUF WA KUMUOA PAMOJA NA KWAMBA TAYARI ANA MSHIKAJI NA NDIYE ALIYEMSHAURI KWENDA KTK MKUTANO WA CUF. JE, LAKI TANO ZINAMTOSHAA KAMA 5 MILIONI NA ZAIDI HAZIKUMTOSHA ? :hatari:
 
Watu waliouwawa kwenye maandamano walikuwa watatu (taarifa za serikali), sasa ilikuwaje CUF wakamfuata huyu mjane na kuwaacha wafiwa wengine? Kwa nini CUF hawataki kujua hali ya wafiwa wengine?

Kwa mjane wa Ismaili, nimpe tena pole kwa kufiwa na mume wake. Nilidhani kupitia mkutano wa CUF angetaka kujua (kwa kina) mtu aliyenyanyua bunduki na kumuuwa mume wake. Nilidhani kupitia huo mkutano wa CUF angedai haki itendeke kwake yeye, watoto, na wanafamilia wote na kudai TUME huru ichunguze mauaji yaliyotokea huko Arusha. Kumgeuza marehemu Ismaili kuwa 'transaction' ni kumvunjia utu wake (hata kama amekufa). Ismaili alinyang'anywa haki ya msingi kabisa, haki ya kuishi. Ni lini mjane huyu atadai HAKI itendeke kwa wale waliokatiza uhai wa mume wake?

Nikurudi kwa CUF na hasa Prof Lipumba, ni kwanini ameona inafaa kumgeuza huyu mjane na mtoto wa marehemu Ismaili kuwa 'human zoo? Kama kweli aliguswa na mkasa ulioikuta familia ya Ismail kwanini huyu 'msomi' hajadai TUME huru ili haki itendeke? Kwa kuendesha harambee, ndio jibu la nani na kwanini Ismaili aliuliwa linapatikana? Hizo laki 5 walizomchangia mjane ndio 'thamani' ya marehemu Ismail?

Ndani ya miezi 18 iliyopita watu zaidi 50 wamepoteza maisha wakiwa kwenye mikono ya polisi. Na week chache zilizopita mwanahabari Daudi Mwangosi kauli kinyama na jeshi la polisi. Huyu Prof atawajulia hali wafiwa wote?

Kuchukua uhai wa mtu asiye na hatia ni kosa kubwa, lakini kugeuza wafiwa (mke, watoto) kuwa 'maonesho' is unforgivable. Na mbaya zaidi aliyeongoza kudhalilisha wafiwa hawa ni msomi! CUF wanasimamia nini? na wamefuata nini Ausha?
 
Huyu mama anataka kufanya kifo cha mumewe kuwa mtaji?!!

Kwani alifanya 'biashara' gani hadi kuwa huru kiasi cha kwenda 'kudai' rambirambi jukwaani?!

Roho ya omba omba inatuandama!!

Naona mjane 'anasafiri' chama hadi chama kuomba rambirambi!!

Yetu macho,tutaona mengi!!
 
FJM ungeuliza na dini za hao wengine, labda wao wana hofu ya Mungu na si ajabu wamekataa kutumika!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: FJM
Ukweli wanaujua viongozi wa chadema na huyo mjane....Sasa naamini kweli siasa ni mchezo mchafu hususani pale zilipogomewa posho kwa maslai ya walala hoi lakini baadae zikakingwa na kupelekwa matumboni,,,
Baniani mbaya kiatu chake dawa
 
Chadema walitoa kauli ya kisiasa waandikwe vizuri kwenye vyombo vya habari kuwa wanajali sana wafuasi wao na waendelee kujitolea kufa ili mwisho wa siku chadema kikamate dola.

Kauli za kisiasa ni kawaida kwa vyama vyote vya siasa iwe CCM au CUF au CHADEMA ndiyo maana wajanja kama mimi siwezi kujitolea kufa kukipa chama cha siasa umaarufu huku familia yangu nikiicha inateseka, ila kama nina mategemeo ya kunufaika kisiasa kama vile kupigania ubunge, kuukwaa uwaziri siku moja basi nitakuwa kimbele mbele kwa kila kitu.

otherwise, kazi inayonipa mkate wangu wa kila siku na kunifanya mimi na familia yangu tuwe juuu ndiyo ninaisujudia na siyo kushinda juani nikisubiri wanasiasa kuja kunidanganya
 
Kageuza msiba kama mradi. Milioni 5 ni msingi tosha kwa mtu makini.kama hizo ameshindwa kufungua hata genge la nyanya basi hafai huyu !!

naanza kukuwek kwenye kundi la watu makini, umeninyang'anya what i wanted to say, 5m kwa mwaka jana na leo unalia...ujasiriamali zero.
 
Huyu nae anatumika tu na cuf kupambana na mpinzani wake ambae ni chadema. Nimemkumbuka mume wa josephine. Kuijadili ndoa yako iliyojifia magazetini as if wewe ndo wa kwanza na wa mwisho kuachwa. Siasa kama una kichwa maji, kama mumewe angekufa kwa kipindupindu je, angeenda hospitali kulalama? Waswahili bwana.
 
tuache ushabiki, mama akiwekwa sawa atasema sawa

chadema wasimdharau huyu mama hata kama anatumiwa
ila tuangalie serikali iliyomuua inabeba jukumu gani
na ccm kutumia marehemu ambaye familia yake inateseka sisahihi

ila naona kama ana nguo mpya, itakua kuna mtaalam anatumia karata za siasa kujipigia pande na siajabu akaishiwa kuwa hata sexually explored sababu ya desperate situation aliyonayo

umenena mkuu. Angelalamika kwenye vyombo vya habari si jukwaani! Ukweli ni ukweli tu haupindwi wala hauchangamani.
 
chadema walitoa kauli ya kisiasa waandikwe vizuri kwenye vyombo vya habari kuwa wanajali sana wafuasi wao na waendelee kujitolea kufa ili mwisho wa siku chadema kikamate dola.

Kauli za kisiasa ni kawaida kwa vyama vyote vya siasa iwe ccm au cuf au chadema ndiyo maana wajanja kama mimi siwezi kujitolea kufa kukipa chama cha siasa umaarufu huku familia yangu nikiicha inateseka, ila kama nina mategemeo ya kunufaika kisiasa kama vile kupigania ubunge, kuukwaa uwaziri siku moja basi nitakuwa kimbele mbele kwa kila kitu.

Otherwise, kazi inayonipa mkate wangu wa kila siku na kunifanya mimi na familia yangu tuwe juuu ndiyo ninaisujudia na siyo kushinda juani nikisubiri wanasiasa kuja kunidanganya

mkuu hapo sijakupata. Kwenda kwenye mikutano ya siasa kunatakiwa kutokane na utashi wako sio kufuata upepo. Lengo likiwa je kwa wanaohutubia wanatoa uelekeo wowote wa kubadilisha maisha yako kutoka point a kwenda point b ambako ni bora zaidi? Kinyume cha hapo kaa ofisini au shambani uchape kazi.
 
ukitaka akae kimya ajapewa hela zake
maiti ikae kimya na yeye anapumua akae kimya???umeona huyo mtoto aliebebewa unahisi analishwa na mawe
atasomeshwa na mawe ??embu weka vizuri nimeona maneno yako sijaona sehemu kamili kama huyu mama
amelipwa ...na cdma kinachoonekana huyu mama alipokea michango ya mdomo huko chadema bila kujua
cash na porojo vitu viwili tofauti
 
Ninadhani ni act ya 'desperation' kwani ni kinyume cha matarajio yake. Chadema walitumia kifo cha mumewe kama mtaji wa siasa na ndugu nao wakataka kutumia kifo hicho kama mtaji wa maisha. Inawezekana kuwa kweli chadema walikuwa na nia ya kusaidia familia hiyo lakini kutokana na harakati za siasa hawajatulia kulishughulikia ipasavyo [haliko katika kanuni] na ninafahamu wanachama binafsi pia walimsaidia kwa hali na mali. sasa sijui alitegemea nini?? Kitendo chake cha kwenda kulalamika katika mkutano wa CUF ni dhahiri anataka kutumia mtaji wa siasa na siyo rambirambi na madam ameshaituhumu chadema ni dhahir amejifunga kabisa kufuatilia suala hilo katika chama hicho na ninadhani CUF watakua wamelivaa suala hilo kwani ni mtaji kwao pia.
 
Back
Top Bottom