Sijaona picha kuonesha Sunami kwenye uwanja wa furahisha mjini mwanza leo

gimmy's

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
3,283
3,274
Kila mmoja anajua kwamba leo kulikua na mkutano kwenye uwanja wa furahisha jijini mwanza ili kumtambulisha kitibu mkuu mpya wa CDM ndugu Vicent Mashinje aliekuja kuziba pengo la aliekua kitubu mkuu wa chama hicho Dr W Slaa.
Ni utamaduni wa kawaida kuhabarishana kupitia picha kwakua si wote tutaweza kufika uwanjani kwani tanzania yetu ni kubwa.
Tafadhali kwa wenzetu mliofanikiwa kufika kwenye utambulisho wa katibu mkuu mpya wa CDM tupieni picha tafadhali tuone nyomi hapo furahisha
 
Teh...Subiri Nyumbu watakuja kukujibu bado wanazungusha mikono na viuno huko wakiFurahisha
 
Ni kweli ni mtu msomi kuliko wote duniani ukilinganisha na
1.Mbowe
2.Kubenea
3.Mnyika
4.Sugu
5.Msigwa
6.Joseph Haule
7.na nyumbu wengine
Ila kwa dunia ya wasomi nje ya CHADEMA CV yake haina ubavu mbele Kigwangala
 
Kila mmoja anajua kwamba leo kulikua na mkutano kwenye uwanja wa furahisha jijini mwanza ili kumtambulisha kitibu mkuu mpya wa CDM ndugu Vicent Mashinje aliekuja kuziba pengo la aliekua kitubu mkuu wa chama hicho Dr W Slaa.
Ni utamaduni wa kawaida kuhabarishana kupitia picha kwakua si wote tutaweza kufika uwanjani kwani tanzania yetu ni kubwa.
Tafadhali kwa wenzetu mliofanikiwa kufika kwenye utambulisho wa katibu mkuu mpya wa CDM tupieni picha tafadhali tuone nyomi hapo furahisha
Huwezi pata hiyo kitu unatafuta...dokta mtaalamu wa nusu kaputi, usikute keshawazimisha molemo na makene .....
Hata crashwise wenge halijamtoka.
 
1457892246553.jpg
1457892254099.jpg
 
Hiyo picha ya juu nimeona kama kuna minazi,hivi uwanja wa furahisha siku hizi kuna minazi?,nimeuliza tu jamani!!!
 
Back
Top Bottom