Sihitaji kura za wafanyakazi (T-shirt Ziko Mitaaani)

Hizi zote zinzhitaji t shirt ana vipeperushi ,kama t shirt ghali basi vipeperushi

kuchapisha TSHIRT, KOFIA, KHANGA na VITENGE sio gharama kubwa kivile maana gharama itarudi maana wakiuza mfano, Tshirt sh 10000, khanga na vitenge sh, 5000 kofia 5000 hela itarudi maana zitagombaniwa kwa wingi
 
hizo t-shirt zipelekwe vijijini pia kwani wengi wao hawajui kama JK alisema hivyoo. Na mameno mengine ya kejeli hapo tutakuwa tumecimba kaburi kabisa la CCM kwani wanavijiji wakiingiwa munkari wakuwazima hayupo.
 
tshirt hizi zinzpatikana piga namba 0716 622185 pia za 'chagua slaa silaha ya watanzania' zinzpatikana
 
zinapatikana namba 0716622185 za 'Chagua slaa silaha ya watanzania" zinapatikana na utaletewa mpaka ulipo bei 12,000 tu material ni nzuri ile nzito isiyoharibika.
 
Kama CCM na Kikwete wangelijua mapema kuwa Dr Slaa angekuwa kwenye kinyanganyiro cha URAIS kiburi cha Kikwete kutoa matamshi hayo kisingekuwepo.

Inamaana gani:

Kuchelewa kwa CHADEMA kumtangaza kumewakamata CCM na Kikwete unprepared kwa mambo mengi.

Ni Juu ya CHADEMA kutumia mwanya wa Makosa ya kilevyi ya CCM kwa ufanisi mkubwa.... SO? Matamshi hayo yatumike vizuri ..tena vizuri sana against kikwete!!

Ni swala la kuwafuatilia CCM kwa karibu na ku take all the advantages ,....they are not that smart .... ! Ni kuwa shangaza kwa mapigo ya ghafla....wametawanyika sana kwa sasa ....na kiburi kinawafaya wasione umbali wa upeo wenye kuleta maana!!! THEY ARE DONE!!

T shirt zitoke nyeupe na ... strong red au black ...kwenye maandishi.....!!
 
Nimeipenda hii, ingekuwa ya green ingemaanisha ni kauli ya SISIEM kuliko ilivyo ya njano, na nyuma iandikwe "Akili za kuambiwa na JK changanya na zako uchague CHADEMA" Nimeupenda sana ubunifu huu na kweli sasa wabongo ni bongo zinduka sio bongo lala kama zamani.Hureeee CHADEMA.
 
Nahitaji picha nzuri za Dr. Slaa ili niwapatie vijana wangu hapa wa-design Tshirt kwa ajili ya Dr. Slaa.

Ila ya Kwanza (Ya kijani) nafikiri wengi waliipenda na kuna member kaweka kama AVATAR.

Nikipata picha NZURI sana ya Slaa basi wiki haiishi, itatoka ya Dr. Slaa.

Naombeni pia mwenye maoni kufahamu iwe na maneno gani.

Rangi siyo shida kwani inaweza kubadilishwa muda wowote.

Mkuu harakati nzuri, tafadhali kanga zisisahaulike. Naomba hizo bidhaa zenye kauli mbofu mbofu za muungwana...mimba ni kiherehere, sijui kwa nn Tz ni masikini, sihitaji kura zenu nk zisiwekwe picha ya mgombea au chama chochote ili watu wasio na itikadi za kisiasa (floating votes) na wanaharakati waweze kuvutiwa nazo. Pia itasaidia kuweza kuzivaa siku ya uchaguzi
 
zinapatikana namba 0716622185 za 'Chagua slaa silaha ya watanzania" zinapatikana na utaletewa mpaka ulipo bei 12,000 tu material ni nzuri ile nzito isiyoharibika.

Mkuu tengenezeni bidhaa ambazo hazina itikadi/rangi ya kisiasa, yaani zenye kuonesha mustakabali wa taifa. Ziwekwe kauli mbofu mbofu za muungwana km mimba ni kiherehere, sijui kwa nn Tz ni masikini, sihitaji kura zenu, mimi ndio muajiri mkuu nk Kuna watu wengi watapenda hata kama hawapendi siasa
 
Hii kazi nzuri sana...sasa kuna haja ya hizo tshirt kuwa na maandishi makubwaaaaaaaa!!!! yaani hata mtu yupo mita mia aweze kusoma na yasiwe ya kufichika fichika...
 
Hakuna Kauli mbaya Kisiasa aliyowahi kuitoa Muungwana inayoizidi hiyo (Sihitaji kura za wafanyakazi).Muungwana si mtu wa majivuno na ujeuri....Lakini miaka yake mitano ya Uongozi wa Nchi kajifunza tabia mbaya....sikuwa najua kwamba mtu anaweza kubadilika tabia ukubwani!

tabia asilia ya mtu huonekana ukubwani hasa anapopata pesa au madaraka.
 
Naona hizi T-shirt za Sihitaji kura za wafanyakazi ziko mitaani
Wapi zinapatikana? Mwenye Taarifa Jamani...

2dwatk2.jpg


Picha na Saidi


Kama vile umesema zipo mitaani, eti eh?
 
Sijui kama mnaelewa kuwa unapokuwa CCM tena wale wa ngazi za juu sio hawa bodaboda au yeboyebo ,wale wakuu kabisa ,ivi mnakumbuka yule CCM wa Zanzibar alisema kura yake na ya Mkewe tu zinatosha kumpeleka Ikulu ,apo mnasemaje wakuu ? Yaani amewapiga kibao CCM wote wanaopiga kura akiwachanganya na upinzani ,dogo hiloo ? Angalau Kikwete amesema hahitaji za wafanyakazi anajua kuna wakulima huko akiwapa trector mmoja tu wengine wote wataingia tamaa !!!
 
Wachapishe Khanga,Tshirt na hata kofia ikiwezekana na skafu ili message iende vyema kwa wote.
Ila rangi waepuke rangi za CCM ili kwa wasiojua kusoma wasipate mkanganyiko wa mambo.
Naona kwa sasa JK anajuta ingawa Tambwe alimtetea kuwa hajawai sema ivyo ata SIJUI uyu tambwe alikuwa anamaanisha nini?
Anazani watz wa leo ndo wa jana.
Peronally hii ni statement ya pili kuniuma ya kwanza ya Mramba "mtakula nyasi ila ndege ya raisi itanunuliwa'
 
Mida ya kuzivaa ndo hii. P/se, toeni taarifa mi ntaivaa mpaka uchaguzi utakapo fanyika.
 
Haaa, hawa vichaa wangu wameona watengeneze nyingine. Haya maneno mie siamini kama kweli alisema.

Ingawa naweka hii hapa ila bado siamini kama ni kweli. Au mlimuelewa vibaya, au mmechukua kipande tu cha maelezo.
attachment.php
 

Attachments

  • Kikwete.jpg
    Kikwete.jpg
    32.2 KB · Views: 601
Haaa, hawa vichaa wangu wameona watengeneze nyingine. Haya maneno mie siamini kama kweli alisema.

Ingawa naweka hii hapa ila bado siamini kama ni kweli. Au mlimuelewa vibaya, au mmechukua kipande tu cha maelezo.
attachment.php

Mkuu kama ni kwa grafix hizo, picha na maneno yametulia. Najua rangi zitakuwa tofauti, maana hiyo kijani sasa hivi haina mvuto. Muungwana alisema hayo maneno, hiyo kauli iliniuma sana kwa sababu inaonesha wazi ni kwa jinsi gani huyu mkuu wa kaya hajui matatizo wa wanakaya wake
 
Pamoja na Tambwe kujaribu kumsafisha, lakini KIKWETE hasafishiki, sababu uchafu wange unaanzia kwenye uwezo wake wa kufikiri, ana uelewa mdogo sana kiasi kwamba hawezi hata kupima impact ya kauli zake. :confused2:
 
Pamoja na Tambwe kujaribu kumsafisha, lakini KIKWETE hasafishiki, sababu uchafu wange unaanzia kwenye uwezo wake wa kufikiri, ana uelewa mdogo sana kiasi kwamba hawezi hata kupima impact ya kauli zake. :confused2:

Kuna 'nigger' mmoja alionya, "haya ni madhara ya kumpa nchi mtu mwenye gentleman degree"
 
Back
Top Bottom