Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,287
- 10,842
Naona hizi T-shirt za Sihitaji kura za wafanyakazi ziko mitaani
Wapi zinapatikana? Mwenye Taarifa Jamani...
Picha na Saidi
Dr. Slaa weka hii katika kampeni strategy ya Chadema. Wewe Vaa Nazihitaki kura za watanzania wote, uwe na nyingine imeandikwa nazihitaji kura za wafanyakazi wote. Hii ni silaha na wadau mjitikeze msaidie printing kwa wingi zivaliwe siku ya kupiga kura.