Sifurahishwi na Matusi ya Nape, Kingwangalla na Humphrey Polepole kwa Dkt. Bashiru

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,016
8,375
Mimi binafsi kama kijana wa kitanzania, ambaye utawala wa awamu ya Tano nusu unitoe roho Kwa presha pale nilipoenda TRA na kukutana na kikosi kazi kilichoundwa na Mh. Makamu wa Rais wa Sasa enzi hizo akiwa Waziri Wa fedha kwa kweli sifurahishwi na Matusi ya rejareja anayotukana Mh Waziri wa habari ndugu Nape Nnauye Dhidi ya Dkt. Bashiru sifurahishwi kamwe.

Ebu ona hii PANZI jamani inafanana na Dr Bashiru au Mh Balozi Polepole

Kiroboto.jpg
 
Huyu aliyetembea kwa magoti zaidi ya kilometa moja kwenda kumwomba msamaha Magu, leo anajitoa fahamu kwa sifa za kijinga namna hii!? Magu angekuwa na roho ya kejeli si angeishia kumpuuza, kweli dunia duara........
 
Huwezi kumwamini Nape. Yaani mdomo wake na akili yake anajua mwenyewe.

Huyu Nape alifukuzwa CCM Kikwete akaja kumrudisha.

Kwa kimbelembele chake akafukuzwa na JPM Maza amemrusha.

Huyu huyu Nape alimtukana Lowasa jukwaani kuwa hawawezi kupeleka Maiti Ikulu baada ya mwaka anakwenda kumsalimia na kupiga naye picha bila aibu.

Wale mnaomuona Nape ni leadership material nawaona huruma sana.
 
Afadhali Bashiru aliongea mchana kweupe lakini yeye nape alipiga GIZANI, JPM akamshughulikia leo anapiga kelele. Anyway wote washenzi tu acha waumane. Hii mvua iendelee kunyesha.
 
Back
Top Bottom