sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,020
- 8,395
Utanzania ni uraia!
Nawaita hawa watu walau tusikie tu sauti zetu ili roho zetu zipoe na zipumue dhidi ya ili la Dp World na Bandari za Tanganyika.
Kwa nini nimewaita?
Hawa watu walijitanabai yakuwa ni wazalendo wa kweli wa taifa la Tanganyika isiyoonekana.
Narudia tena popote ulipo ndugu Balozi Humphrey Polepole njoo utoe neno dhidi ya treaty!
Popote ulipo ndugu Job Ndungai jitokeze utoe neno tafadhli Sana uiponye nafsi yetu.
Nakuita ndugu Bashiru Kakuru Mbunge wa vitu maalumu Ila wewe ni Balozi na katibu mkuu wa CCM mstaafu tafadhari oyetokeze ogambe akagambo kamwe uiponye nafsi zetu.
Nakuita tena.
Prof. Kabudi Mzee wa jalalani jitokeze useme neno uliponye taifa, tafadhali taifa limegawanyika ili.