Sifa za mwanamke wa kifipa.

tisa desemba

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
434
114
wadau, kwa wanaowajua wanawake wa kifipa plz plz naombeni mnipe japo kwa uchache sifa zao..................mwenzenu nimenasa nataka kutangaza ndoa. Sitanii.
 
Naoa mtu, ila uzoefuunaonesha kuwa kuna uhusiano mkubwa sana kati ya kabila (jamii) flani na tabia zao! mfano kabila flani wabahili, kabila flani wazinzi, kabila flani wana wivu sana n.k
 
Naoa mtu, ila uzoefuunaonesha kuwa kuna uhusiano mkubwa sana kati ya kabila (jamii) flani na tabia zao! mfano kabila flani wabahili, kabila flani wazinzi, kabila flani wana wivu sana n.k

Mkuu sasa hivi wahusika wataanza kukutukana, subiria uone!

Jiandae kwa gubu, wivu na makelele makelele. Mfuko wako uwe mzuri, vya pombe hao kushinda wanawake wa kichaga
 
jiandae kupokea ukoo wao mzima kwa gia ya kuja kusalimia, ndugu akija kusalimia anakata hata miezi.
Nawasifu Kwa uvumilivu na uelewa! Na ni wachapakazi pia. Hawana makuu, shida ni hapo kwenye ndugu kuamia nyumbani kwenu hasa kama unaishi jirani na anakotokea.
Jiandae pia kupikiwa mrenda, chikanda, nswa aka kumbikumbi, mabumunda n.k.
Jiandie pia kwenye mlolongo wa salamu, kwa kifupi ukikutana na baba mkwe inatakiwa usalimie kila kitu ....sahani, bakuli n.k
 
Back
Top Bottom