arifu huja specify celeb wa wapi?? maana kuna celeb wa bongo na celeb wa majuu ambao different saaana......Hivimtu akitaka kuwa Celebrite awe na sifa zipi.
tumia majina ya mastaa wa nje kama ambavyo Sintah anavyojiita JLO,Mboni Misimba anavyojiita Kim Kardashian,jack wolper anavyojii Amber Rose na kadharika.... HAKIKA UTAKUWA CELEB.
tz kuna mastar wengi kuliko maceleb.celeb ni hasheem thabít,manji,watoto wa bakhresa,nk.
Celeb lazìma uwe star lakinì si kila star ni celeb.íts a lifestyle
kuwa muke ya muthungu(TZ ONLY)Hivimtu akitaka kuwa Celebrite awe na sifa zipi.
au awe choko kama bob junia.
MP.