Sifa za kupata mkopo

Dec 29, 2013
28
9
Kwa heshim , wana jukwaa wa jf ,hivi kama umemaliza Form six miaka minne iliyopita na sasa umeapply chuo Kwa zile Course ambazo ni priority kama engineer, education je Unaweza! kupewa mkopo na bord?Naomba Mwenye uelewa na hili jamaan atufafanulie
 
Back
Top Bottom