Sidumu kwenye mahusiano, tatizo langu ni lipi?

Ebu ngoja nikue mtazamaji tu hapa.
Nataka nione vijana wanavyo ogopa fursa adim kama hizi.
Hapa wakati wa ujana wangu ingekua ni kama ndege kajinasa tunduni aiseeee
 
Labda hujui kuwajibika vizuri kwenye mambo yetu yale ya 6*6, sijui hilo unasemaje ndg
 
Vile vile zingatia Usafi wa K. na yawezekana K. yako ni ya baridi, kimsingi kuna mambo mengi sana yanayoweza kusababisha hali hiyo ila wewe ndiye unayejua Zaidi, yawezekana ulishawahi kumtenda mwanaume au mtu yeyote sasa malipo ndo hayo, yaan kuna mambo mengi sana, wewe ndiye unayejua vizuri jinsi ulivyo
Duuh... Mara ya baridi, mara inatema, ya majimaji mara kubwa.. Tunashida jamani vyote ivyo viwe Perfect. Ukiwa perfect usiwe gogo ukiwa gogo kibuti bado kitakuhusu
 
Sister kuna mganga yupo tanga nikikupeleka hata hao waliokuacha watakuja kukurudia wakitembea kwa magoti.wakilia na kusaga meno.yaani hiyo dawa unaingiziwa na mganga sehemu zako nyeti usiku wa saa nane mkiwa wawili tu. Halaf anaisukumia ndani kabisa.anakuachia humo.

Then nenda kakae tu home subir ndan ya masaa 24 simu yako iwe on.na iwe na charge ya kutosha.kila mmoja aliyewah kukubwaga atakupigia akilia mrudiane.hapo unaweza tu kuwa unawapiga fine kwa kukuumiza labda tsh 500,000 kila mmoja au zaidi. Watatoa. Halaf sasa wale wa mitaani au barabaran ndo usiseme we mwenyewe unaweza enda tena kumwomba mganga akuingzie nyingne ya kupunga makali.maana watakuwa wanapishana tu wenye benz,bmw,ford,toyota,escalade,hummer n.k hawa akina bak resa , mengine nao wataanza kuwa wanakutangizia dau.

Kama hilo huwezi basi tuonane dada niangalie kiuno chako.maana inawezekana kikawa kikavu sana. Inabid ujifunze kukata kiuno kizunguke kama pangaboi.zungusha kiuno dada usiwe mvivu.hizo pesa unazokuwa unawaomba omba zifanyie kazi dada...hawakup tu kwa vile wanataka wakusaidie wanataka waone kama unarudisha thaman ya pesa zao. Sasa we weka kiuno kama gogo kama hujajishtukia una miaka 50 ushavurugwa vurugwa umebak tu waaaah....wazi.
 
mi nawashangaa wanaosema tatizo una du kabla ya ndoa?!hiv utakuwa ni uhusiano gani huo yaani nikutoe out nikurishe nikuvishe na zawadi nikupatie halafu uniambie tuta du baada ya ndoa.....labda kama hiyo ndoa ni kesho kutwa.ila kama ndoa ni baada ya miaka 2 au 1 sijui takuwa ni mwanaume mvumilivu kiasi gani nitakae kubali.Mi naona hapa ku du kabla ya ndoa sio sababu tafuta lingine.mi nakushauri bora endelea kugawa tu yupo atakae kuja kupendezewa na na radha yako na huyo ndiye utadumu nae maana wanasema KIMFAHAE MTU CHAKE. Sio kila mahusiano lazima yaishie kwenye ndoa mengine ni kusogezeana siku za kuishi tu.
 
ww unakaa una mapungufu kwenye k yako aidha una papuchi ya baridi au inatema hilo ni tatizo kubwa sana jichunguze kwanza ujue tatizo lako ni nini
 
Habari za mchana,

Mwenzenu nina tatizo yaani siwezi kudumu kwenye mahusiano wanaomipenda mimi siwapendi lakini nikiwapenda baada ya muda wananipotezea, nilikuwa na mwanaume mwanajeshi mwanzoni akawa ananipigia simu sana, hospitali akawa ananipeleka yeye mwenyewe. Baada ya muda nikawa nikiugua anadai hana pesa mara ooh! Kasafiri kikazi na muda huo hajaniaga. Ikawa kwa mwezi naweza kupigiwa mara mbili au tatu mapenzi yakaishia hewani, nikapiga moyo konde

Nikapata mwingine ni mhasibu wa shule fulani ya sekondari, mwanzoni naye mapenzi yakawa motomoto na ahadi kem kem, nikawa nahudumiwa hata kabla sijasema, simu kila wakati baadae naye akaacha kunitafuta, nikawa namtafuta nisipomtafuta hata zipite wiki kadhaa yeye yuko kimya tu na whatssap yuko online, facebook yuko active.

Nimeshajitahidi kumweleza zaidi ya mara tatu anaomba msamaha lakini hajirekebishi. Nimejitahidi kumweleza nmana ninavyompenda lakini wapi. mwenzangu hana habari, ukweli ni kwamba nampenda mno sijui tatizo langu likowapi, sichepuki wala simpigi mizinga, amekuwa mzito kujibu meseji zangu nikituma leo zinaweza kujibiwa baada ya siku tatu au nne.

Msinichoke tafadhali, mnisaidie wala msinitukane, ukijisikia kutukana uzi huu haukuhusu.

Nawasilisha.
Utakuwa una vitabia vnavyoboa. Jichunguze
 
Pole sana..mila hizo dada yangu, kuna mila zinafunga wasichana kuolewa..Omba sana Mungu atazishinda na utaolewa tu
 
  • Thanks
Reactions: THT
Hujawahi kuumiza mtu kabla...yaan historia yako ya mahusiano ni wewe tu unaumizwa?hujawah muumiza mtu wako wa awali?
 
  • Thanks
Reactions: THT

Similar Discussions

Back
Top Bottom