Sidumu kwenye mahusiano, tatizo langu ni lipi?

Pole sana.Baadhi ya Tania za mwanamke zinazoweza kumkimbiza mwanaume ni pamoja na uchafu na kukosa mpangilio katika mambo yako,harufu mbaya ukeni,kupenda kumtawala mwanaume,kuwa tegemezi kupitiliza,kukosa heshima kwa mwanaume,uvivu,kukosa hamu ya mafanikio katika maisha,lugha mbaya,kushindwa kudhibiti matumizi ya mitandao ya kijamii umalaya nk.Jitathimini.Unazo baadhi ya Tania hizo ?Rekebisha,jiamini.Nakutakia kila la heri.
Iv huyo ni malaika mpaka asiwe na hivo vyote?!maisha ni kuvumiliana na kurekebishana tu.
 
  • Thanks
Reactions: THT
Kwani we unajihisi mapungufu yako ni yapi. Haiwezekani wakuache hiv hiv. Sitaki kukubali kwamba huendekezi maisha ya anasa ingawa hutaki kukubali.
 
Habari za mchana,

Mwenzenu nina tatizo yaani siwezi kudumu kwenye mahusiano wanaomipenda mimi siwapendi lakini nikiwapenda baada ya muda wananipotezea, nilikuwa na mwanaume mwanajeshi mwanzoni akawa ananipigia simu sana, hospitali akawa ananipeleka yeye mwenyewe. Baada ya muda nikawa nikiugua anadai hana pesa mara ooh! Kasafiri kikazi na muda huo hajaniaga. Ikawa kwa mwezi naweza kupigiwa mara mbili au tatu mapenzi yakaishia hewani, nikapiga moyo konde

Nikapata mwingine ni mhasibu wa shule fulani ya sekondari, mwanzoni naye mapenzi yakawa motomoto na ahadi kem kem, nikawa nahudumiwa hata kabla sijasema, simu kila wakati baadae naye akaacha kunitafuta, nikawa namtafuta nisipomtafuta hata zipite wiki kadhaa yeye yuko kimya tu na whatssap yuko online, facebook yuko active.

Nimeshajitahidi kumweleza zaidi ya mara tatu anaomba msamaha lakini hajirekebishi. Nimejitahidi kumweleza nmana ninavyompenda lakini wapi. mwenzangu hana habari, ukweli ni kwamba nampenda mno sijui tatizo langu likowapi, sichepuki wala simpigi mizinga, amekuwa mzito kujibu meseji zangu nikituma leo zinaweza kujibiwa baada ya siku tatu au nne.

Msinichoke tafadhali, mnisaidie wala msinitukane, ukijisikia kutukana uzi huu haukuhusu.

Nawasilisha.
Kwa maelezo yako inaonekana we ni mtegemez mwsho wa siku unaoneka mzigo tu maana we unahitaji upendo w kuhudumiwa tu
 
Hii mada nilishachangia, ngoja nipite

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
mi nawashangaa wanaosema tatizo una du kabla ya ndoa?!hiv utakuwa ni uhusiano gani huo yaani nikutoe out nikurishe nikuvishe na zawadi nikupatie halafu uniambie tuta du baada ya ndoa.....labda kama hiyo ndoa ni kesho kutwa.ila kama ndoa ni baada ya miaka 2 au 1 sijui takuwa ni mwanaume mvumilivu kiasi gani nitakae kubali.Mi naona hapa ku du kabla ya ndoa sio sababu tafuta lingine.mi nakushauri bora endelea kugawa tu yupo atakae kuja kupendezewa na na radha yako na huyo ndiye utadumu nae maana wanasema KIMFAHAE MTU CHAKE. Sio kila mahusiano lazima yaishie kwenye ndoa mengine ni kusogezeana siku za kuishi tu.
Umeongea point mkuu! Katika hali ya kawaida mwanaume huwezi kumuhudumia kama mke ikiwa ni mapenzi ya uboyfriend,labda awe mchumba ambaye kwao unatambulika,lakini kumuhudumia girlfriend kama mke kwa kila kitu,wewe mwanaume unanufaika nini na uhusiano huo? Ikiwa wanasema wasuburi mpaka ndoa ndo wavue chupi,basi kama atakuwa tayari kuvua chupi mpaka ndoa,wewe mwanaume usijipe majukumu ya kumuhudumia mpaka utakapomuoa,kwa sababu unaweza kumuhudumia halafu wakaja kuoa wengine ikawa sawa na wanaosomesha wapenzi.hivyo kwenye ugirlfriend hilo swala la kuotoshiriki ngono ni gumu kdgo ikiwa mwanaume anamuhudumia mpenzi wake kwa kila kitu.vinginevyo mwanamke asihudumiwe na asimvulie chupi mwanaume, hadi atakapomuoa.Na kufanya ngono kabla ya ndoa sio sababu ya wewe kutokuolewa,unaweza ukavua chupi na bado ukaolewa,na unaweza usivue chupi na still ndoa ukakosa pia.
 
Utakuwa na pepp wewe jana tuu unatamba umeokoka na unamchumba mwislamu leo orodha ya wachumba...!

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom