Eng Mayeye
Member
- May 23, 2011
- 37
- 1
Nahofia sana mfumo wa SIASA tuliouanzisha hivi sasa wa kukuza MIGOGORO na MPASUKO ktk jamii na kuitumia kama MITAJI yetu ya siasa ktk majukwaa ili tupate UMAARUFU. Hatuna fikra kama tukijaaliwa kushika HATAMU tutaiongoza jamii hii hii na huu kuwa MSUMARI WA MOTO kwetu pia.