Sule Watanga
Member
- Nov 12, 2016
- 22
- 32
Waislam chuo kikuu kimoja tu, chawatoa macho,ipo haja ya kupunguza ubaguzi nyie wakristo mmezid wapendwa...nimeamini hata uwape nini hawatatupenda abadani, Allah hadanganyi nyie hata mumpe fact gani hataelewa bwana, sie tumesoma SAUT na akina John wamesoma MUM mbna kawaida tu, hivi vingekuwepo vyuo kama MUM 10 sijui ingekuaje, au sababu huoni vimini pale chuon ndo roho inauma...punguza roho mbaya mtoa mada