Siasa na Mustakabali wa Mapenzi.

Nicas Mtei

JF-Expert Member
Dec 21, 2010
11,556
7,085
Mdada anasema eti ananipenda lakini hana uhakika kama 2tadumu katika mahusiano et kisa ye yupo Ccm na mimi nipo Chadema.

Kauli hyo aliitoa juzi baada ya kuniona nimejikita zaidi katika kufuatilia mchakato wa uchaguz wa Arumeru na maeneo mengne.
Amechukia vile nampotezea.

Ukweli ni kwamba ni kweli nilikuwa nafuatilia sana ishu ya Arumeru katika mtandao na pia kwenda huko.
Kisa kikubwa ni kwamba nilisafiri kwenda Arumeru siku ambayo ilikuwa ni birthday ya dada ake na altamani sana niwepo ili anitambulishe kwa nduguze.
 
Duh! agree to disagree

sioni sababu kuu ya kutengana unless mmeona kuwa hamko the perfect match to each other

ni kama watu wenye ofisi tofauti tuu, basi mnaendelea na kila mmoja inapofika siasa anasimama upande wake
 
Mtei One,
pole kwa kupatwa!...ngoja wakubwa waje wakushauri vema!...mm chalii mwenzio
 
kusema ukweli hii topic imekaa ki-Kongoshokongosho namsubiri aje atoe boonge la ushauri hapa... hivi ni experience ipi utaomba ushauri halafu asionekane KOngosho?
 
Itikadi zinamata kwenye mapenzi kaka, kama vipi mpigie pande Nnauye mana wanaendana....
 
Duh! agree to disagree

sioni sababu kuu ya kutengana unless mmeona kuwa hamko the perfect match to each other

ni kama watu wenye ofisi tofauti tuu, basi mnaendelea na kila mmoja inapofika siasa anasimama upande wake

Mimi huwa namsubiri asimame upande wake kwa uhuru. Nkicmama mimi inakuwa kesi.
 
Akija Erick ataisìa kuchakachua thread yangu
Kwanza nashangaa huyo anayekupenda ni mdada gani aliyekosa hata house boy....
Ila nahisi hako katakuwa kahousegirl ka nyumba ya Jirani....
Pole sana
Dada kagundua SISIEMU wote ni vilaza so hata wewe ni mmoja wao kaamua kukubali kuwa nyumba ndogo kwangu...
Hahahaaaaa
People'sssss...Poweeerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
kama kawaida yako. Huyo dada ndo yupo magambani. Hataki me nipende chadema.
 
Kawaida sana ndugu yangu, nikama itikadi za kidini(imani) zinavokuwaga,
Nikushauri kwamba ujaribu kwenda naye taratibu bila kutumia maguvu yakisiasa zaidi, jaribu kumwonyesha udhaifu wa chama chake kama unauona huku uki compare na mazuri yalofanywa na chama chako pia,
Naimani kama kweli unampenda hutomwacha kwasababu ya vyama vyenu( politics ain't nothing)...
 
How nice it is 4 a girl who is your political mate 2b underneath you! Especialy in these times when cdm is celebrating its victory.
 
Huyu ambaye yupo magamba hakufai. bora angekuwa dini togauti ungemvumilia. akigoma kuachana na magamba atakosa bahati ya kuolewa.
 
Kawaida sana ndugu yangu, nikama itikadi za kidini(imani) zinavokuwaga,
Nikushauri kwamba ujaribu kwenda naye taratibu bila kutumia maguvu yakisiasa zaidi, jaribu kumwonyesha udhaifu wa chama chake kama unauona huku uki compare na mazuri yalofanywa na chama chako pia,
Naimani kama kweli unampenda hutomwacha kwasababu ya vyama vyenu( politics ain't nothing)...

Ahsante kwa ushauri wako mkuu. Nitaendlea kuufanyia kazi.
 
Back
Top Bottom