Siasa na harakati za Fatma Karume zinavyoiathiri Tanganyika Law Society

Wakili house fees ni laki 4 : ada zote mpaka Sasa binafsi it's around laki 7
Laki 7?
Na hapo ukilipia leseni ya biashara laki 3 yaani ushalipa milioni na hujalipia rent ya ofsi, umeme wala maji..
Du! Sasa sisi wanyonge tukienda kwa mawakili tutaweza kumudu kulipia gharama zao?
 
Mtoa mada umesema:-
"TLS NA SIASA INAELEKEA WAPI???? Katika uongozi wa Fatma Karume mawakili wamekua wakidharaulika kufikia hata kuitwa mashoga."

Nakujibu kwamba:-
"MAPROFESSA NA SIASA INAELEKEA WAPI????
Katika uongozi wa JIWE, maProfessa wamekua wakidharaulika kufikia hata kuitwa mashoga."

Shwaini

Sent using Jamii Forums mobile app
Ma profesa wa sasa hivi sawa na mwanafunzi wa darasa la saba, na huyo wa la saba ni bora zaidi ya profesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Laki 7?
Na hapo ukilipia leseni ya biashara laki 3 yaani ushalipa milioni na hujalipia rent ya ofsi, umeme wala maji..
Du! Sasa sisi wanyonge tukienda kwa mawakili tutaweza kumudu kulipia gharama zao?
Huyu mama kaleta majanga
 
Hahahaha braza nakumiss kule jukwaa letu pendwa la wazee au umeacha nn ur ana inspiration
Mtoa mada umesema:-
"TLS NA SIASA INAELEKEA WAPI???? Katika uongozi wa Fatma Karume mawakili wamekua wakidharaulika kufikia hata kuitwa mashoga."

Nakujibu kwamba:-
"MAPROFESSA NA SIASA INAELEKEA WAPI????
Katika uongozi wa JIWE, maProfessa wamekua wakidharaulika kufikia hata kuitwa mashoga."

Shwaini

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada umesema:-
"TLS NA SIASA INAELEKEA WAPI???? Katika uongozi wa Fatma Karume mawakili wamekua wakidharaulika kufikia hata kuitwa mashoga."

Nakujibu kwamba:-
"MAPROFESSA NA SIASA INAELEKEA WAPI????
Katika uongozi wa JIWE, maProfessa wamekua wakidharaulika kufikia hata kuitwa mashoga."

Shwaini

Sent using Jamii Forums mobile app

Usikatae, ni kweli TLS si chama cha wanasheria tena bali mashoga wakiongozwa na Fatma Karume na ndiyo maana Rais wao anapounga mkono ushoga hakuna aliyeinua mdomo kukanusha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chama cha Wanasheria cha Tanganyika (TLS) kinapenda kukufahamisha na kuufahamisha umma kuwa wanachama wake wanayo mifumo rasmi ya ndani ya chama ya kutoa malalamiko yanayohusu wanachama wake ikiwemo Kamati huru ya Maadili ya Wanachama, yaani-Advocates Committee. TLS inawakumbusha wanachama wake kufuata taratibu hizo ili kuepusha sintofahamu inayoweza kijitokeza kwa wanajamii kwa nia ya kuleta mtafaruku ndani ya chama na kuuonesha umma kuwa Chama cha Mawakili ni kandamizi.

Pia ifahamike kwamba maamuzi ambayo hupitishwa na wanachama wenyewe katika mikutano mikuu ya chama hutekelezwa na Baraza la Uongozi kwa kuzingatia maelekezo (resolutions) ya wanachama kwenye mkutano yake mikuu; ambayo kubadilika kwake kunaweza kutokea tu iwapo mkutano mkuu unaofuata utatengua maamuzi yake kutokana na hoja nzito zitakazopitishwa na wanachama wenyewe.

Wanachama waliridhia kuchangia jengo lao la Waliki House Aprili 2018 na kutilia mkazo jambo hilo mwezi Septemba 2018 kwenye mikutano mikuu lengo likiwa ni kumaliza jengo lao Januari 2019.

Kwa baraka za mikutano hiyo, wanachama wanaendelea kutoa michango hiyo kukamilisha lengo la ujenzi.

Rais pamoja na viongozi wa Baraza la Uongozi wa TLS huchaguliwa kwa misingi ya demokrasia na wanachama katika Mkutano Mkuu wa kila mwaka. Hivyo viongozi hao huwa na baraka za wanachama kufanya shughuli zozote za chama kupitia vikao vyao vya ndani kwani wao ndio walio wachagua. Na zaidi ya yote Baraza la Uongozi hufanya maamuzi kwa niaba ya wanachama. Maamuzi ya ndani ya Baraza hilo huzingatia misingi yote ya demokrasia kupitisha hoja za utekelezaji na kuiagiza Sekeretariat yake kutekeleza maazimio ya Baraza.

Imetolewa na Afisa Mahusiano
Chama Cha Wanasheria Tanganyika(TLS)
Salima S Mseta.
 
Back
Top Bottom