Siasa mbovu za Uenyekiti wa Halmashauri ya Moshi vijijini, Mbunge anahusika

Msiwe mnajibu hovyo tu hapa! Mama yangu sio mwanasiasa ila nakupa hii! Mama yake John Mrema kwenye kura za maoni alipata kura moja lakini kateuliwa na hakufanya chochote kwenye harakati hizi! Elizabeti Temba alipata kura 2 anahusishwa na tuhuma za mapenzi na mbunge! Ukitaka ntakuambia tena!
Tunachotaka Mbunge na viongozi waache Demokrasia ichukue mkondo wake!
Kama CDM inataka isichafuke iache siasa za kizamani!

...waacha povu mama; umekalia umbeya hadi koromeo limeharibika.!!
 
Back
Top Bottom