Si walizema Big Brother yakiuka maadili ya m-tz?

jmnamba

Senior Member
Mar 31, 2012
156
25
Kumbukumbu zangu zasema kuwa shindano lile la Big Brother lakiuka maadili ya mtanzania baada ya shindano/mashindano kadhaa yaliyopita kuwa na kasoro fulani fulani... Au ndio mpaka baada ya miaka kadhaa ndio waje wafanye kama kwenye mambo ya ulimbwende uliotangaza wizara kua hawatambui mashindano ya miss tanzania?
 
Big Brother kwa Kiswahili inaitwaje? Mbona wanaenda wanawake wengi.
Kama sikosei Big Brother ni Bonge la dume. Sasa wanawake wanafuata nini, kama si kihele-hele chao, wakiwa-do ndio mnaanza kulalamika
 
Kazi kweli kweli! watu wanashindania pesa nyingi ktk hilo shindano,hasa wale wasio na aibu ya kuanika maungo yao ktk hilo jumba! matajiri bwana..pesa zao hawana pa kuzipeleka!
 
Back
Top Bottom