Si sahihi kuendelea kuhudhuria bunge linalojadili mambo yasiyo na tija kwa nchi yetu

mgheni amani

Member
Jun 21, 2011
29
3
Nimetafakari kwa kina matukio yanayo tokea kwenye bunge letu linaloendelea najiuiza maswali mengi sana kutokana na matendo na mienendo ya bunge hili la jamhuri ya muungano wa tanzania. maswali yafuatayo lazima wabunge wajiulize

1.ccm na wabunge wake wanawawakilisha wakinanani wasiohitaji utaratibu mzuri wa kusaka katiba mpya?

2.Hivi spika anaelewa kuwa wanakula pesa za wananchi bure kwa kujadili masuala yasiyo na tija kwa wanachi?

3.Ana kilango wewe ni mbunge hivi wananchi wako masikini wa mamba miamba,kihurio.makanya,bendera,ivongo ihindi,he ifingo,mang,a kweli unawawakilisha kwa namna ile kweli? au kwa kuwa hukai kule? punguza kuropoka kunaondoa hata busara ndogo uliokuwa nayo

4.je? mnataka kuongezewa poshp kwa mijadala isiyokuwa na tija kwetu? huu ni upuuzi yaana kupuuza wananchi
5. hivi ccm hamjui kujadili namna mijadala isiyo kubalika kwa wananchi ni ufisadi?

6 Ni lini mtaacha hiyo tabia ya kupuuza wananchi waliowatuma?

HAKUNA FAMILIA YA MTANZANIA AMBAYO HAIJAONJA UMASIKINI KWELI HATA HAWA WEZI WA MALI ZA UMMA WANAONDUGU MASIKINI KABISA HIVYO ACHENI UBINAFSI TUMIKIENI WANANCHI KWA MOYO MMOJA HUKU MKITAMBUA KUWA NINYI NI WAWAKILISHI WA WANANCHI MASIKINI TUMIENI KILICHOPO KAMA KUNA MTU HAWEZI KUWA MBUNGE KWA MASILAHI YALIYOPO AACHE AWAPE FURSA WENZAKE
 
wameingia kwa rushwa ya kanga t-shirt, kofia na sukari. hawanana presha walishamalizana na wananchi kwa sasa wanachumia tumbo kwa hiyo hawajui mahitaji ya wananchi wao na mwisho wataenda kuwapa shukrani kwa kuchaguliwa na kuomba kipindi kingine.
 
Back
Top Bottom