M Makitauo Member Apr 30, 2012 99 21 May 26, 2012 #1 Kamanda wetu Mbowe katangaza kuanzia leo uwanja wa jangwani palipofanyika mkutano leo pataitwa Chadema square. Sehemu ya umati uliohudhuria
Kamanda wetu Mbowe katangaza kuanzia leo uwanja wa jangwani palipofanyika mkutano leo pataitwa Chadema square. Sehemu ya umati uliohudhuria
AdvocateFi JF-Expert Member Jan 15, 2012 11,492 5,040 May 26, 2012 #6 Yap kuanzia leo pale ni jangwani ni CHADEMA SQUARE. big up Mbowe kamanda wa anga.
A Aristides Pastory JF-Expert Member Feb 7, 2012 348 60 May 26, 2012 #7 Hahaha... CHADEMA SQUARE! Hiyo imepitishwa....
J Jeho JF-Expert Member Jul 2, 2011 5,053 5,504 May 26, 2012 #8 Kuanzia leo Jangwani pataitwa Kanda ya kaskazini square, nadhani hii imekaa vizuri kwa wale waNapelism.
Kuanzia leo Jangwani pataitwa Kanda ya kaskazini square, nadhani hii imekaa vizuri kwa wale waNapelism.
middo JF-Expert Member Mar 21, 2011 207 56 May 26, 2012 #9 Mnajua jna la jangwani limetokana na nini? Tuachieni historia yetu.
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Sep 21, 2011 16,510 28,416 May 26, 2012 #10 kweli bana.. peopleeeeez
Endeleaaa JF-Expert Member Oct 5, 2007 1,485 738 May 26, 2012 #11 Wana Yanga hatujakubaliana na hilo. mnataka sasa tuwe Yanga ya chadema skuwea hatujakubali hilo. hamjajua sie ni CCM eeh...
Wana Yanga hatujakubaliana na hilo. mnataka sasa tuwe Yanga ya chadema skuwea hatujakubali hilo. hamjajua sie ni CCM eeh...
Yummy JF-Expert Member Sep 26, 2011 1,796 1,336 May 26, 2012 #13 asigwa said: kweli bana.. peopleeeeez Click to expand... Pawaaaaaaaaa
mfereji maringo JF-Expert Member Nov 19, 2010 1,037 251 May 26, 2012 #16 Yanga tumeafiki, ni "chadema skweya". Kuanzia leo jina hilo limepita, yaani vinega tulijaa hakunaga
N Ngonini JF-Expert Member Sep 1, 2010 2,023 563 May 26, 2012 #17 Ribosome said: Haina mshiko kakosea maboya. Click to expand... Kapatia we vipi au unataka uitwe Magamba Square ndo utakubaliana?
Ribosome said: Haina mshiko kakosea maboya. Click to expand... Kapatia we vipi au unataka uitwe Magamba Square ndo utakubaliana?
Kiby JF-Expert Member Nov 16, 2009 6,899 4,623 May 26, 2012 #18 Mr Sugu nae kasema kutamka sisiem unajijumuisha na wewe hivyo tuwe tunawaita NYINYIEM. .
B Bangoo JF-Expert Member Nov 3, 2011 5,597 1,005 May 26, 2012 #19 New name tutali2mia patakuwa kama pale misri tahariri! Mambo mazuri hayo, ccm hawawezi kuujaza hata wakisomba watu na malori.
New name tutali2mia patakuwa kama pale misri tahariri! Mambo mazuri hayo, ccm hawawezi kuujaza hata wakisomba watu na malori.
BAK JF-Expert Member Feb 11, 2007 124,789 288,015 May 26, 2012 #20 Pipoz powaaaaaaaaaaaaaaaaaaa....Dar hiyo taratibu inaponyoka mikononi mwa magamba. Alutta continua! continua!
Pipoz powaaaaaaaaaaaaaaaaaaa....Dar hiyo taratibu inaponyoka mikononi mwa magamba. Alutta continua! continua!