Si Jangwani tena, ni CHADEMA square!

Wana Yanga hatujakubaliana na hilo. mnataka sasa tuwe Yanga ya chadema skuwea hatujakubali hilo. hamjajua sie ni CCM eeh...

Hujaambiwa Jangwani yote bali kwenye ule uwazi tuuu, mwalimu wako alikuwa na shida kweli ndo maana mnatuchelewesha kwenye mabadiliko sababu ya kuchelewa kuelewa na mkielewa wagumu kubadilishwa aaaaaargh
 
Wana Yanga hatujakubaliana na hilo. mnataka sasa tuwe Yanga ya chadema skuwea hatujakubali hilo. hamjajua sie ni CCM eeh...
hujakosea kutetea rangi ya jezi yenu na ccm zinafanana,ndio maana club ina mgogoro na ccm ina mgogoro,ccm inakufa na yanga inakufa!
 
Kweli darisalaam sasa mna akili mechi ya starz imekosa watu,m4c ni noma
 
Watu tumewakilisha nyinyiM WASHAJUA MWISHO WAO NDO MAANA NAPE ANAJIHAMI KWA KUSEMA HATA HAKIBAKI PEKE YAKE NYINYIM HAIFI...,mbali na yote tumetisha pale CHADEMA SQUAQE.Big up kwa makamanda wapya afu namaliza kwa kusema PEOPLESSS POWERRR-Tumetishaje CCM KWISHAAA
 
We bikira wa kiume, hivi unajua athali za udini na ukabila unazopandikiza? Mwl nyerere alitumia nguvu nyingi kuiunganisha nchi yetu, kwa nini mnaendeleza sera za makundi?. Mungu ibariki nchi yetu!!!! Ni kweli inawezekana cdm kuna watu wenye mawazo hayo, nasema kama wapo basi walaaniwe, wasipotubu watakufa!!! Mwisho: Nchi yetu ni bora kuliko cdm, ccm, tlp,nk KAMA CDM WANA UKABILA, THEN HAWATAFIKA MBALI, LAKINI KAMA NI UCHOCHEZI WENU CCM, HATA MFANYEJE, 2015 MJIANDAE KUWA WAPINZANI.
 
Back
Top Bottom