Shy-Rose awapa vidonge wanafiki wote!

its better to loose while believing in the right course, kuliko kuwin kwenye kile nisichokiamini. kupanga ni kuchagua.
Raha ni kuwa mwanachama wa chama kinachoshinda...kama haupo CCM, u are in the looserz side
 
Nampa pole sana Shyrose. Ni mambo mengi yamemkumba kwa wakati mmoja, alikopa fedha nyingi sana wakati wa kuwania ubunge, sasa maskini ya mungu inabidi azilipe, Jaffarai nae matumizi yake yalikuwa makubwa, hana msaada kwa bibie. Jamaa wenye mshiko kisha wakorofisha, Sugu kastuka, kaona mnhhh "maji ya shingo". Dahhh. Namhurumia sana Shyrose.

Mama siasa ni mchezo mbaya na mchafu. Kama unaakili timamu kichwani usijiingize kwenye siasa, muulize Mtikila, Mrema, RA, Sitta, Lowassa, Jumbe, Msabaha, Karamagi, Lembeli na wengine kadhaa, watakujulisha habari za siasa. Haiingiwi kichwa kichwa.

Pole sana mdogo wangu. Nakuasa achana na siasa, fanya biashara ndio una asili nayo hiyo.
 
its better to loose while believing in the right course, kuliko kuwin kwenye kile nisichokiamini. kupanga ni kuchagua.
Siku utakapofahamu ukweli wote wa hivyo vyama vya kishenzi unavyovishabikia utakisikitika sana.
Naheshimu maamuzi yako, lakini inabidi ujitahidi kuvifahamau hivyo vyama vizuri
 
Nampa pole sana Shyrose. Ni mambo mengi yamemkumba kwa wakati mmoja, alikopa fedha nyingi sana wakati wa kuwania ubunge, sasa maskini ya mungu inabidi azilipe, Jaffarai nae matumizi yake yalikuwa makubwa, hana msaada kwa bibie. Jamaa wenye mshiko kisha wakorofisha, Sugu kastuka, kaona mnhhh "maji ya shingo". Dahhh. Namhurumia sana Shyrose.

Mama siasa ni mchezo mbaya na mchafu. Kama unaakili timamu kichwani usijiingize kwenye siasa, muulize Mtikila, Mrema, RA, Sitta, Lowassa, Jumbe, Msabaha, Karamagi, Lembeli na wengine kadhaa, watakujulisha habari za siasa. Haiingiwi kichwa kichwa.

Pole sana mdogo wangu. Nakuasa achana na siasa, fanya biashara ndio una asili nayo hiyo.

naona bwanako ka like
 
Shy-Rose is a kind of ward-heeler being in politics only to meet her inordinate acquisitiveness for riches. She represents a number of courtesans who exploits the licentiousness of CCM's archons to make gains out it!
Taata mwita bado unawekeza tanzania au wewe ni boi wa wazungu wa Nyamongo!?
 
shy-rose bhanji "wote mnaojifanya ni makada wa ccm iko siku nitawaumbua tena kwa majina yenu na ushahidi kwamba mnajifanya mnakipenda chama huku mkisema vibaya pembeni...chama chetu kinafanya vibaya kwanini msiseme ukweli hadharani?

Wengine wanadiriki hata kuwa na accnt 2 au 3 kwenye fb, moja wanajidai kusifu na zingiene wanaongelea ukweli kuhusu chama..mnachoogopa ni kipi? Kwa nini hamtaki kuwa majasiri? Au hamjiamini???
Kudadadaikyi"...

must be the naping nape
 
shy-rose is a kind of ward-heeler being in politics only to meet her inordinate acquisitiveness for riches. She represents a number of courtesans who exploits the licentiousness of ccm's archons to make gains out it!

atiwn52=mwita25
 
Siku utakapofahamu ukweli wote wa hivyo vyama vya kishenzi unavyovishabikia utakisikitika sana.
Naheshimu maamuzi yako, lakini inabidi ujitahidi kuvifahamau hivyo vyama vizuri

Hakuna chama cha kishenzi kama CCM. Ni mafisadi waliiba fedha za EPA ili kumuingiza JK madarakani, ni wauaji walimuua Kolimba, Kombe, Salome Mbatia na wana CUf kule Pemba mwaka 2001,ni wazushi wanadai CDM imeingiza makomandoo kutoka nchi za Kiislamu il hali wanadai CDM ni adui wa Uislamu,walizusha pia kuwa CDM wamechoma nyumba ya kada wa CCM ikateketea lakini kikaratasi kikasalimika, kuna ushenzi zaidi ya huu?
 
Nampa pole sana Shyrose. Ni mambo mengi yamemkumba kwa wakati mmoja, alikopa fedha nyingi sana wakati wa kuwania ubunge, sasa maskini ya mungu inabidi azilipe, Jaffarai nae matumizi yake yalikuwa makubwa, hana msaada kwa bibie. Jamaa wenye mshiko kisha wakorofisha, Sugu kastuka, kaona mnhhh "maji ya shingo". Dahhh. Namhurumia sana Shyrose.

Mama siasa ni mchezo mbaya na mchafu. Kama unaakili timamu kichwani usijiingize kwenye siasa, muulize Mtikila, Mrema, RA, Sitta, Lowassa, Jumbe, Msabaha, Karamagi, Lembeli na wengine kadhaa, watakujulisha habari za siasa. Haiingiwi kichwa kichwa.

Pole sana mdogo wangu. Nakuasa achana na siasa, fanya biashara ndio una asili nayo hiyo.
Yote haya unayajua foxy! mbona wewe ni magamba original!
 
Jamani wahindi bishara yao ni duka, huyu anatakia nini siasa?
 
Ndugu wakigombana, chukua jembe ukalime, wakipatana chukua jembe ukavune. Mbona kuna utaratibu wa kujadili mambo kwenye vikao vya ndani ya chama? Kwanini asivitumie kuwaambia ukweli wanachama wenzake maana anawafahamu na huo ushadahidi anao kuliko kufanya mambo kwa dhahania.
 
Shy-Rose Bhanji "wote mnaojifanya ni makada wa CCM iko siku nitawaumbua tena kwa majina yenu na ushahidi kwamba mnajifanya mnakipenda chama huku mkisema vibaya pembeni...chama chetu kinafanya vibaya kwanini msiseme ukweli hadharani?

Wengine wanadiriki hata kuwa na accnt 2 au 3 kwenye fb, moja wanajidai kusifu na zingiene wanaongelea ukweli kuhusu chama..mnachoogopa ni kipi? kwa nini hamtaki kuwa majasiri? au hamjiamini???
KUDADADAIKYI"...

Yeye mbona hakuyasema wazi ya kuachana na Japharay kwa kuwa alitembea na Sugu? huyu dada anajulikana kwa kuvuta bangi ! nawashangaaa NMB ndio wamemuweka Public relations officer wao mtu wa namna hii. Hii inapunguza hata reputation ya bank infront of public image
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom