Shy-Rose awapa vidonge wanafiki wote!

yeye mbona hakuyasema wazi ya kuachana na japharay kwa kuwa alitembea na sugu? Huyu dada anajulikana kwa kuvuta bangi ! Nawashangaaa nmb ndio wamemuweka public relations officer wao mtu wa namna hii. Hii inapunguza hata reputation ya bank infront of public image

na wewe ni mmoja miongoni mwa wale wanafiki au? Acha wivu wa kike
 
no.81 na 83 acheni wivu kwa M-MAMA mwenzeni, kwanza i guess hata kidogo hamjafikia level yake kimafanikio politically na hata kimaisha
 
Nampongeza dada Shy kwa ujasiri wake wa kuongea ukweli si watu wengi wenye ujasiri wa kuweka ukweli hadhalani na kinachowasaidia ni kuweka mawazo yao kwa kutumia mgongo wa account binafsi.

Akiongea ukweli unaona watu wasiokuwa na hoja wanamuandama kwa masuara yake binafsi. Kwanza sioni tatizo la yeye kuwa na Jaffarai kwani waliweza kudumu kwa kipindi cha miaka nane. Kwa kuwa na mahusiano na Jaffalai amethudhihilishia kwamba hababaiki na wanaume wenye pesa zao na hasa ukizingatia kwamba Shy-Rose ni mzuri, mrembo, anavutia, ana kazi nzuri na bado wanaume wengi wamemtaka na amewakataa. Kuachana kwake na Jaffalai eti amtembea na Sugu ni majungu kwani hakuna uthibitisho katika hili. Shy-Rose wala Sugu hawajapata kukili hadharani kwamba wamewahi kuwa na uhusiano wowote.

Acheni kumchafulia sifa yake nzuri ya kutotembea hovyo na wanaume au viongozi kama wanawake wengine kwa lengo la kusaka vyeo. Viongozi wengi wamemtamani na wanaume wenye akili zao na pesa zao lakini hakuwa na mda wa kutembea nao. Nionacho mimi wanaume wote ambao Shy-Rose amewakataa wana hasira naye na ndiyo sababu ya kumchafua. Wengine ndiyo hao magamba wamepewa vidonge vyao sasa wanakuja na siasa za maji taka.

Songa mbele bi dada na hongera sana kwa kuwa jasiri kwani masuara ya kujipendekeza waachie viraza kama kina January Makamba ambao wanatumia migongo ya wazazi wao kupata vyeo.
 
Well said Mkandara!....hata mie nilishasema kwenye post namba 2 au namba 3 kuwa huyu binti ni shupavu sana na mpambanaji wa ukweli!. Alafu
yote tisa, kumi huyu dada anamvuto kwa vijana kama wakina Halima mdee,Mnyika,Lema,Sugu nk. Leo ccm wanamuona huyu dada ni mbaya
sana kwakuwa anawaeleza ukweli' lakini siku akitua CDM, am sure magamba wataisoma namba.

mbona mnamuweka katika kundi la vijana si amezidi 40 huyu dada
 
Shy-Rose is a kind of ward-heeler being in politics only to meet her inordinate acquisitiveness for riches. She represents a number of courtesans who exploits the licentiousness of CCM's archons to make gains out it!
Hahahahah! Utamfahamu mtu asiyejua kiingereza anavyoandika maneno ya ajabu! Nimecheka sana leo! Hahahahah
 
shy-rose bhanji "wote mnaojifanya ni makada wa ccm iko siku nitawaumbua tena kwa majina yenu na ushahidi kwamba mnajifanya mnakipenda chama huku mkisema vibaya pembeni...chama chetu kinafanya vibaya kwanini msiseme ukweli hadharani?

Wengine wanadiriki hata kuwa na accnt 2 au 3 kwenye fb, moja wanajidai kusifu na zingiene wanaongelea ukweli kuhusu chama..mnachoogopa ni kipi? Kwa nini hamtaki kuwa majasiri? Au hamjiamini???
Kudadadaikyi"...
ukweli muhimu nakwambia tunahitaji watu kama shy ndani ya vyama
 
Anachosema ni kweli ingawa ukweli ndani ya ccm hauna nafasi iliufanikiwe na ccm inabidi uwe mnafiki, kwan kuwa kashindwa unafiki ataporomoka ndani ya ccm hadi kupotea aangalie mapema maisha yake nje ya ccm. Safi sana
 
haya mwanaharakati

Shy-Rose Bhanji "wote mnaojifanya ni makada wa CCM iko siku nitawaumbua tena kwa majina yenu na ushahidi kwamba mnajifanya mnakipenda chama huku mkisema vibaya pembeni...chama chetu kinafanya vibaya kwanini msiseme ukweli hadharani?

Wengine wanadiriki hata kuwa na accnt 2 au 3 kwenye fb, moja wanajidai kusifu na zingiene wanaongelea ukweli kuhusu chama..mnachoogopa ni kipi? kwa nini hamtaki kuwa majasiri? au hamjiamini???
KUDADADAIKYI"...
 
big up shy rose ww ni mzalendo wa kweli ttzo hilo chaka ulilojificha linafuka moshi ni bora ungewahi kutoka kabla halijalibuka,huko ulipo kusema ukweli kwao ni dhambi wamezoea kusifiana kwa kila upuuzi hata mtu akiharubu asifiwe! Kimbia huko
 
Anachosema ni kweli ingawa ukweli ndani ya ccm hauna nafasi iliufanikiwe na ccm inabidi uwe mnafiki, kwan kuwa kashindwa unafiki ataporomoka ndani ya ccm hadi kupotea aangalie mapema maisha yake nje ya ccm. Safi sana

Mwambie mapema! Aje 2 cdm!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom