Shy-Rose awapa vidonge wanafiki wote!

Bora ahame tu huku CCM wala haleti faida yeyote.
Hayo ni maneno ya mkosaji tu!.....subirini atoke hapo ccm ndiyo mtaisoma namba! siyo siri huyu dada anamvuto kwa vijana
so hastahili kuwepo kwenye chama kilichokosa mvuto na kinachokaribia kifo.
 
Ngoja mi nianze kuwataja..! NAPE,NCHEMBA,6,JANUARY MAKAMBA,CHATANDA,KIGWANGALA,BASHE,Hawa wote wapo ccm kimaslah so 2015 watakuwa wapinzan!

Umewasahau SIMBACHAWENE, MWAKYEMBE, SITA, ANNA KILANGO, OLE SENDEKA, SHELUKINDO NA LEMBELI
 
Nampa pole sana Shyrose. Ni mambo mengi yamemkumba kwa wakati mmoja, alikopa fedha nyingi sana wakati wa kuwania ubunge, sasa maskini ya mungu inabidi azilipe, Jaffarai nae matumizi yake yalikuwa makubwa, hana msaada kwa bibie. Jamaa wenye mshiko kisha wakorofisha, Sugu kastuka, kaona mnhhh "maji ya shingo". Dahhh. Namhurumia sana Shyrose.

Mama siasa ni mchezo mbaya na mchafu. Kama unaakili timamu kichwani usijiingize kwenye siasa, muulize Mtikila, Mrema, RA, Sitta, Lowassa, Jumbe, Msabaha, Karamagi, Lembeli na wengine kadhaa, watakujulisha habari za siasa. Haiingiwi kichwa kichwa.

Pole sana mdogo wangu. Nakuasa achana na siasa, fanya biashara ndio una asili nayo hiyo.

Haya mambo binafsi mkasimuliane na bwanako NEPI
 
Shy-Rose Bhanji "wote mnaojifanya ni makada wa CCM iko siku nitawaumbua tena kwa majina yenu na ushahidi kwamba mnajifanya mnakipenda chama huku mkisema vibaya pembeni...chama chetu kinafanya vibaya kwanini msiseme ukweli hadharani?

Wengine wanadiriki hata kuwa na accnt 2 au 3 kwenye fb, moja wanajidai kusifu na zingiene wanaongelea ukweli kuhusu chama..mnachoogopa ni kipi? kwa nini hamtaki kuwa majasiri? au hamjiamini???
KUDADADAIKYI"...

Huyo Shy ndio mnafiki mkubwa na bado ana hasira za kukosa ubunge.
 
Yeye mbona hakuyasema wazi ya kuachana na Japharay kwa kuwa alitembea na Sugu? huyu dada anajulikana kwa kuvuta bangi ! nawashangaaa NMB ndio wamemuweka Public relations officer wao mtu wa namna hii. Hii inapunguza hata reputation ya bank infront of public image

Yeye ni mwana magamba kama wewe kwa hiyo CCM ni chama cha wavuta bangi.
 
Source iko wapi isije ikawa umetumwa tu kumchafua Shy-Rose

Nyie ndio anaowaongelea kama wewe ni mnafiki namba 1,CCM inafanya madudu we unapanua domo lako na kushangilia,tena wewe haufai hata kidogo LINAFIKI LIKUBWA.
 
huyu nae nani anayemwamini?
Akawii kuwa ametumwa na magamba ya kiume...........anatumika sana huyu binti!!
 
Shy-Rose Bhanji "wote mnaojifanya ni makada wa CCM iko siku nitawaumbua tena kwa majina yenu na ushahidi kwamba mnajifanya mnakipenda chama huku mkisema vibaya pembeni...chama chetu kinafanya vibaya kwanini msiseme ukweli hadharani?

Wengine wanadiriki hata kuwa na accnt 2 au 3 kwenye fb, moja wanajidai kusifu na zingiene wanaongelea ukweli kuhusu chama..mnachoogopa ni kipi? kwa nini hamtaki kuwa majasiri? au hamjiamini???
KUDADADAIKYI"...
Wanaopinga kula kiti moto ndo walaji wakuu ,ulikuwa ujuiiiiii.
 
Shyrose unajua kua ule mwimbo mpya Jaffary wa MCHARUKO umeimbiwa wewe?Gamba la kike wee!!
 
Soon dada atahamia kwenye chama kubwa CDM,ana upeo mkubwa kwa hiyo kuendelea kukaa kwa Magamba ni kama anapwaya
 
Ana stress za kulikosa jimbo la kinondoni ..kumwaga na jaffary mshamu.kwanza asijiite mwanaharakati maana sioni uanaharakati wowote..aache kufikiri kwa kutumia masaburi.

mwanaharakati wa kitandani tu huyo.gademu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom