Shule ya wasichana-westgate girls high school - kibaha

beko

Senior Member
Apr 11, 2011
189
91
WESTGATE Girls High School ni Shule ya sekondari ya wasichana ya bweni inatangaza nafasi za kujiunga na kidato cha kwanza kwa mwaka wa masomo 2016. Westgate Girls High school ipo kibaha misugusugu mbele kidogo ya Kongowe. Interview za kujiunga zitafanyika pale msimbazi centre saa mbili asubuhi tarehe 28 Novemba 2015. Fomu ni Tsh 15,000 tu na zinapatikana Msimbazi centre kwenye duka la parokia (chumba namba 19) na shuleni Westgate Girls High school-kibaha.
Westgate Girls High School ina mazingira tulivu kwa masomo yasiyo na mwingiliano wa Vurugu. Ni shule muafaka kwa watoto wa kike wenye ndoto za kuwa wanasayansi kwani ina maabara za Sayansi ili kumwezesha mtoto kufanya majaribio yote yanayofundishwa Darasani.
Shule ina walimu waliobobea na wana maarifa yote muhimu ya ufundishaji. Mwanafunzi anapata chakula kamili, kizuri na cha kutosha kwa afya ya mtoto pia inaviwanja vizuri vya michezo (Indoor games, outdoor games and track events).
Westgate Girls High School inawalea watoto katika maadili ya kumuogopa mungu na kuwa na tabia njema.
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na uongozi wa shule kwa nambari 0757291698 au 0658075061 au 0785977488.
Mnakaribishwa wote WESTGATE GIRLS HIGH SCHOOL, KIBAHA

NOTE: Kwa wale watakaopenda kutumiwa application form kwa njia ya mtandao wanashauriwa watume maombi yao kwa anuani ya barua pepe ifuatayo (westgategirls@gmail.com) ili waweze kutumiwa form hizo kwa njia ya mtandao .Malipo ya form hizo yatapokelewa siku ya kufanya mtihani tarehe 28/November 2015 kabla ya kuingia kwenye shumba cha mtihani
 
HIZI NAMBA ZOTE HZIPTINI HEWANI.....KUNA MWENYE WASIFU SAHIHI WA SHULE HII JAMANI?
 
Piga namba hii ni ya mkuu wa shule directly-0762 625 372[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom