Shule bora ya serikali

Dah hakuna kitu nilikua napenda kama kusoma bweni, O-level nilichaguliwa Mbeya Secondary ulifanyika mpango wa kunihamishia Tosamaganga likatokea zengwe, A-level nikapata post Rungwe dingi akagoma Comb hakuipenda nikahamia day tena. Chuo lazima hostel but mzuka sio kama wa Secondary.
 
Neno shule bora ni too general. unge-establish variables kama overall performance ya fm iv/ fm vi; uwepo wa maabara, maktaba, walimu na sifa zao utendaji wa kazi, nidhamu k.m mahudurio nk. nk. ili mtu aweze kupima hivyo. Pia Ukaguzi Taifa una habari zote. JUA KUWA HAKUNA PERMANENCE KATIKA SUALA LA UBORA ziko factors myingi zinazoweza kuifanya shule iwe bora nazo hubadilika pia. swali lako si baya lakini si la kitafiti labda kama ushabiki hivi
 
performance nzuri katika shule za serikali hutegemea sana pamoja na mabo mengine aina ya wanafunzi wanaochaguliwa kujiunga na shule hizo. kama ni watoto wenye vipaji maalumu shule itakuwa na performace nzuri na hivi hatuewezi kuiita shulehizo kuwa ni bora kwa ajili hiyo. kama nilivosema shule bora ni kauli tata bila kuwepo vigezo. Utaona sasa kuwa Shule za Mzumbe, Kibaha n.k hufaulisha zaidi kwa sababu hupokea wanafunzi wenye vipaji maalum. shule nyingine zikipewa nafasi hii zitakuwa hivohivo
 
Haya shule bora za private hizi hapa.
1. St. Francis
2. Marian
3. St. Mary Goret
4. St. Joseph millenium
5. Kifungilo
6. St. mary's mazinde juu
7. Kanossa girls
8. Loyola
9. Anwaritte
10. Kibosho
11. Visitation
12. Tengeru boys( part ya marian)
13.
endeleza.....
n:b hizi sio seminary.
 
Haya shule bora za private hizi hapa.
1. St. Francis
2. Marian
3. St. Mary Goret
4. St. Joseph millenium
5. Kifungilo
6. St. mary's mazinde juu
7. Kanossa girls
8. Loyola
9. Anwaritte
10. Kibosho
11. Visitation
12. Tengeru boys( part ya marian)
13.
endeleza.....
n:b hizi sio seminary.

but st francis na marian nnavyoelewa ni skuli za wakatoliki
 
Tabora boys kichwa cha tanzania, special skuli ya kwanza tanzania ,kisimiri na kibaha mzumbe wameibuka miaka ya karibun
special skul ni kitu gan mkuu?? mi nlikua nasikia(toka kwa babu yangu) enzi zao zilikuwepo!! kumbe hadi siku hizi zipo?? na kama zipo kwel(japo siamin) wana nini cha ziada sana kushinda hawa wengine(yaani sisi)..mimi nadhan huu ni mtindio wa kimawazo na fikra za miaka hiyooo(kabla ya uhuru)..shule siku hizi ni wewe mwenyewe tu..hata kama unasoma kwenye hizo unaziita special.. one utapata na zero utapata kama kawaida kama hutajibidiisha..uspecial uko kwa mtu mwenyewe bila kujali shule kwa hiyo ondoa mawazo mfu katika kichwa chako mkuu!!!!
 
Kwa kombi,cba-kibaha,galanos.pcb-tbrboys,kbh,mzumbe,ilboru,kisimiri.eca-kibaha,umbwe.hge-minaki,umbwe,pugu,tosa,mirambo!
huu ni uongo uliokithiri...toka lini pugu wanatoa hge..mkuu jipange kabla hujaropoka!!!
 
but st francis na marian nnavyoelewa ni skuli za wakatoliki

Kunatofauti kati ya seminari za katoliki na shule zinazomilikiwa na kanisa katoliki.

Kama sijakosea hapo hizo zote ni shule zinazomilikiwa na kanisa katoliki.
 
performance nzuri katika shule za serikali hutegemea sana pamoja na mabo mengine aina ya wanafunzi wanaochaguliwa kujiunga na shule hizo. kama ni watoto wenye vipaji maalumu shule itakuwa na performace nzuri na hivi hatuewezi kuiita shulehizo kuwa ni bora kwa ajili hiyo. kama nilivosema shule bora ni kauli tata bila kuwepo vigezo. Utaona sasa kuwa Shule za Mzumbe, Kibaha n.k hufaulisha zaidi kwa sababu hupokea wanafunzi wenye vipaji maalum. shule nyingine zikipewa nafasi hii zitakuwa hivohivo
vipaj maalum unasemea vip mkuu..mpira,kucheza mziki,kuimba kupiga ngoma au unamaanisha nin??
 
Dah hakuna kitu nilikua napenda kama kusoma bweni, O-level nilichaguliwa Mbeya Secondary ulifanyika mpango wa kunihamishia Tosamaganga likatokea zengwe, A-level nikapata post Rungwe dingi akagoma Comb hakuipenda nikahamia day tena. Chuo lazima hostel but mzuka sio kama wa Secondary.
kwenye red hapooo.. inamaana dingi(baba) alikuchagulia comb ya kusoma?? au mimi ndo sijaelewa!!!
 
kwenye red hapooo.. inamaana dingi(baba) alikuchagulia comb ya kusoma?? au mimi ndo sijaelewa!!!

Dah mkuu dingi alikua ananichekia course ambayo ina option nyingi chuo tofauti na niliyokua nimepata. But nilikua naiweza.
 
huu ni uongo uliokithiri...toka lini pugu wanatoa hge..mkuu jipange kabla hujaropoka!!!

Kama nakumbuka vizuri combination ya HGE pale Pugu ipo, mimi nilisoma pale kidato cha 5 na 6 miaka ya mwishoni mwa tisini na kama nakumbuka hugh school kulikuwa na combination za PCB,PCM na hiyo HGE!
 
naona jaman king-kong kawapasupasua sana ok! kuwen tu wapole na msibishane na ukweli nawasilisha prof.mpigamsuli
 
Tusisahau shule hizi:
1.Don Bosco Mafinga seminary
2.St.Joseph Kilocha Seminary
3.Maua Seminary
4.Uru Seminary
 
Dah mkuu dingi alikua ananichekia course ambayo ina option nyingi chuo tofauti na niliyokua nimepata. But nilikua naiweza.
dah mi nadhan kuna kosa lilitendeka..mfano ungepiga zero ungejilaum wewe au dingi!!??? mkuu hayo yashapita ila hata wewe usije mchagulia mtoto au ndugu comb ya kusoma...maa lawama yake na madhara ni makubwa hasa kwa huyo msomaj(mtoto)....
 
Back
Top Bottom